Tunapokuwa na taifa ambalo mkuu wa nchi anakaa kimya pale raia wake wanapouliwa kinyume cha sheria hilli Tataizo kubwa. Kwanini yupo kimya?

Mkuu unauhakika ni panyaroad au ndyo watauliwa watu kwa mgongo wa panyaroad!!…
Yule wa mtwara alikua panyaroad
Serengeti nao n panyaroad
Wanaouliwa na kufanywa kana kwamba wamejinyonga n panya road??

Na nani atahakikisha kama walikua ni panya road au ni raia walioporwa mali na polisi kisha kuuwawa???
Unadhan polisi nao hawataki utajili? hawana maadui hawana wabaya wao wanaotaka kulipiza kisasi??

#KichaaKapewaRungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…