Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Mkuu unauhakika ni panyaroad au ndyo watauliwa watu kwa mgongo wa panyaroad!!…Acha kulalamika mjomba kama wao waliuwa basi acha na wao wauwawe. Umeshaambiwa kuwa "Mshahara wa DHAMBI ni MAUTI".
Hao mbwa koko wenu walizingua mpaka kuifanya nchi ionekane haina serikali. Sasa kibao kimewageukia unakuja kulalamika.
Mbona wakati wao (panya road) wakifanya uhalifu wa kuvunja nyumba za raia, kuiba, kujeruhi na mpaka kuuwa raia wasiokuwa na hatia mbona haukuja kuandika ushuzi wako hapa kwa waliyoyafanya?
Nashauri polisi isisitishe oparation hii mpaka ihakikishe nchi inarudi kuwa mahali salama kwa kila mmoja wetu kuishi kwa amani na furaha.
Yule wa mtwara alikua panyaroad
Serengeti nao n panyaroad
Wanaouliwa na kufanywa kana kwamba wamejinyonga n panya road??
Na nani atahakikisha kama walikua ni panya road au ni raia walioporwa mali na polisi kisha kuuwawa???
Unadhan polisi nao hawataki utajili? hawana maadui hawana wabaya wao wanaotaka kulipiza kisasi??
#KichaaKapewaRungu