- Thread starter
- #21
Prof Dr Massawe nae kavut this morning kwa hio ndude.
Kuna haja ya kuwatolea uvivu hawa wanaojifanya kusimamisha uchumi kwa gharama ya maisha yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prof Dr Massawe nae kavut this morning kwa hio ndude.
Hata hivyo ukiangalia ulaya walivyoathirika na covid huwezi kufananisha na huku
Covid haina nguvu huku kwetu
Ulaya ilipurusa mpaka wakaa sawa ile ni tauni aiseh
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Hii ndio zaburi yangu kinga ya Corona.Zaburi 91
1 Aketiye mahali pa siri pake Aliye juu Atakaa katika uvuli wake Mwenyezi.
2 Nitasema, BWANA ndiye kimbilio langu na ngome yangu, Mungu wangu nitakayemtumaini.
3 Maana Yeye atakuokoa na mtego wa mwindaji, Na katika tauni iharibuyo.
4 Kwa manyoya yake atakufunika, Chini ya mbawa zake utapata kimbilio; Uaminifu wake ni ngao na kigao.
5 Hutaogopa hofu ya usiku, Wala mshale urukao mchana,
6 Wala tauni ipitayo gizani, Wala uele uharibuo adhuhuri,
7 Ijapo watu elfu waanguka ubavuni pako. Naam, kumi elfu mkono wako wa kuume! Hata hivyo hautakukaribia wewe.
8 Ila kwa macho yako utatazama, Na kuyaona malipo ya wasio haki.
9 Kwa kuwa Wewe BWANA ndiwe kimbilio langu; Umemfanya Aliye juu kuwa makao yako.
10 Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
11 Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
12 Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
13 Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
14 Kwa kuwa amekaza kunipenda Nitamwokoa; na kumweka palipo juu, Kwa kuwa amenijua Jina langu.
15 Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza;
16 Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.
Amshindw kuisingizia covid, majitu yanajifia kwa ukimwi,kansa, magonjwa ya moyo na bp nyie mnaisngizia covid19, acha wafe as long as vifo havijaanza leo wala jana...achen iman zakipuuzi mnataka masikin wafe ili hao matajil wabak nanan?? hizo bizaa zao watamuuzia nani?? au hamjui kuwa dunia bila umasikin aibalance.....acha wafu wazike wafu wao......
Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
eti majituAmshindw kuisingizia covid, majitu yanajifia kwa ukimwi,kansa, magonjwa ya moyo na bp nyie mnaisngizia covid19, acha wafe as long as vifo havijaanza leo wala jana...achen iman zakipuuzi mnataka masikin wafe ili hao matajil wabak nanan?? hizo bizaa zao watamuuzia nani?? au hamjui kuwa dunia bila umasikin aibalance.....acha wafu wazike wafu wao......
YesYule mwenye Songoro Marine?
Sometimes watu wanachomwa chanjo wanaganda damu kwenye ubongo tatizo hatuna system strong ya kufuatilia je wanaokufa ni wale wale waliokwisha chanjwa au lah
kwaiyo kuniweka wazi unazani ni ujanja??? kama una ushahid si uweke wazi death certificate zao kuwa kwamekufa kwa sabb gani, na sio kuweka vitisho vyakipumbav...madalal ya chanjo kazi munayo...maana matarajio yenu yanakwenda tofaut na mlchotegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE, MMEINGIA CHAKIKEEE EWAAAATunatambua kwa nia ovu zilifichwa taarifa sahihi za Corona.
Tunajua lengo la kuficha taarifa ilikuwa kufanikisha visingizio vya kijinga vya vifo kama vyako.
Bila shaka wahanga wote wa Corona dunia nzima walikuwa na magonjwa mengine pia. Wenyewe wakijua au hata bila kujua.
Tunajua sehemu ya waliokuwa kwenye agenda ya kuficha taarifa za ugonjwa huu wengine wamo humu JF:
Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa: "Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo kuhusiana na Mh. Mbowe, Chadema, Chanjo za Corona na tahadhari zake." Wajumbe hao wakisikia moja...www.jamiiforums.com
Uzi huo unawahusu sana hao.
View attachment 1890481
Karibu uteme nyongo.
Kuna haja ya kubadilisha neno malaya wa kike kuwa Uviko-19!Nilihisi hiki kirusi ni cha kike maana kinapenda wanaume, sasa nimegundua kinapenda wanaume wenye pesa.