Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Aandike mirasi tu hamna namnabado wewe your next
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aandike mirasi tu hamna namnabado wewe your next
Watu wengi wamepotea na "taka taka" moja iliyokuwa inanuka uvundo wa ajabu.nadhani hata huko aliko uongozi wa malaika hajaupata!Mwaka huu nchi imepoteza mtu mmoja Tu wa maana naye ni JPJM aka Jiwe...!!
DAAAHNdani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Sasa hao matajiri kabisa na uCEO ina maana hawajui kujikinga na Covid hadi uje kuilamu serikali? By the way, kwani matajiri wao hawafi hadi uone ajabu?
Cha kusikitisha hao wote tajwa hapo walichanjwa...