Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.

Nilikuwa sijakusoma. Ninaifuatilia mkuu.
 
Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Si kweli Dr Malugu hakufa kama unavyodai. Alikwenda kwenye Hypoglycaemia (Kuishiwa sukari mwilini) kwa muda mfupi sana. Akapewa first aid. Hapo hapo akarudi kwenye hali yake ya kawaida.
 
Hata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo
 
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:

1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)

Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?

Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.

Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.

Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.

Mkuu,, umemsahau mwenyekiti chama cha soka wilaya ya kahama mkoani Shinyanga IBRAHIM KHAN
 
Kwa mujibu wa waficha taarifa za ugonjwa huu, wahanga ni nduguye Mbowe na wengine wachache tu.

Hiiiiii bagosha!
 
Hata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo
Na matokeo yake ni kuonekana kupungua kwa vifo vya hayo magonjwa mengine maana tunakuwa na vifo vingi vya covid badala ya kisukari presha kansa ukimwi n.k
 
Hata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo

Si kuwa taarifa sahihi zinafichwa ili kuhalalisha huo usemi wa kuwa si kila mtu ana kufa kwa covid-19 na waficha takwimu wenyewe?
 
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:

1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)

Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?

Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.

Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.

Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Janga linahitaji uongozi makini ili kutuvusha bahati mbaya tunongizwa na muimba taarab
 
Hatuna pesa ya mchezo, hizo chanjo nendeni mkanywee chai. Hizo nchi walizoweka lockdown na kuchukua tahadhari maambukizi yanapungua au yanaongezeka?
 
Janga linahitaji uongozi makini ili kutuvusha bahati mbaya tunongizwa na muimba taarab

Mwimba taarab aliyezungukwa na miimba taarab ambayo mingine imo humu JF.

Kauli mbinu yao "ficha takwimu halafu komaa si kila kifo ni Corona."

IMG_20210718_063455_991.jpg

Utopolo mtupu!
 
Mengine kujiongeza tu sio hadi uambiwe, anything do at your own risk.
 
Back
Top Bottom