Tunapopoteza Matajiri 5 ndani ya wiki 1

Hata hivyo ukiangalia ulaya walivyoathirika na covid huwezi kufananisha na huku
Covid haina nguvu huku kwetu
Ulaya ilipurusa mpaka wakaa sawa ile ni tauni aiseh

Unaangalia je kuathirika kwetu kulinganisha na Ulaya?

#COVID19 - Kwa mujibu wa Zitto Kabwe, Tunapoteza watu kwa kiwango kikubwa kutokana na Corona

Au ni kwa kujiangalia wewe na familia yako tu?

Kwani unadhani Ulaya kila familia imeathirika? Mbona huko familia zilizo nyingi hazikuathirika kabisa na ugonjwa huu?
 
Amshindw kuisingizia covid, majitu yanajifia kwa ukimwi,kansa, magonjwa ya moyo na bp nyie mnaisngizia covid19, acha wafe as long as vifo havijaanza leo wala jana...achen iman zakipuuzi mnataka masikin wafe ili hao matajil wabak nanan?? hizo bizaa zao watamuuzia nani?? au hamjui kuwa dunia bila umasikin aibalance.....acha wafu wazike wafu wao......
 
Tuendelee kujifukiza nduguzangu ama vipi, ila huyu mdudu ana association kubwa na bank account na misosi sasa wee endelea kudharau tembele tu na majani ya kunde , hakuna rangi utaacha kuona chali yangu
 

Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
 
Hii ndio zaburi yangu kinga ya Corona.
 

Tunatambua kwa nia ovu zilifichwa taarifa sahihi za Corona.

Tunajua lengo la kuficha taarifa ilikuwa kufanikisha visingizio vya kijinga vya vifo kama vyako.

Bila shaka wahanga wote wa Corona dunia nzima walikuwa na magonjwa mengine pia. Wenyewe wakijua au hata bila kujua.

Tunajua sehemu ya waliokuwa kwenye agenda ya kuficha taarifa za ugonjwa huu wengine wamo humu JF:

Mahasimu wa CHADEMA, Mbowe na Chanjo tukutane hapa

Uzi huo unawahusu sana hao.



Karibu uteme nyongo.
 
Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.

Hayo wangeelezana na nabii mfufua wafu ingependeza zaidi.

Wakiyaleta huku watakumbushwa kumkumbusha askofu wao kwenda kumfufua shujaa!
 
eti majitu
 
Ni kweli mkuu inaweza kushangaza kwa matajiri kufa sana lakini hata sishangai maana na maskini wanakufa wengi tu tena tangu enzi na enzi na sio kwamba covida ndio chanzo. Dunia imeingia wakati wa kimiminika maji (Age of Aquarius) na tunajua kazi mojawapo ya maji ni kusafisha, "Nature balances itself"
Ulimwengu unarudi kwenye asili yake. Ni wakati wa matajiri kutoa hesabu kwa Muumba kwa matendo waliyoyatenda na pia kuachia nafasi kwa binadamu wengine nao kuwa matajiri.
Note:
1)Matajiri wengi huua, huiba na kutembelea nyota za maskini.
2 )Afapo mtu mwenye wafuasi wengi, roho nyingi hubaki huru kutoka kifungoni, mf. TB.Joshua na JPM.
3)Tegemea wataondoka wengi zaidi wenye uongozi,ushawishi,umaarufu na wafuasi .
 
Sometimes watu wanachomwa chanjo wanaganda damu kwenye ubongo tatizo hatuna system strong ya kufuatilia je wanaokufa ni wale wale waliokwisha chanjwa au lah
 
Sometimes watu wanachomwa chanjo wanaganda damu kwenye ubongo tatizo hatuna system strong ya kufuatilia je wanaokufa ni wale wale waliokwisha chanjwa au lah

Kabla ya kuchanjwa ilikuwa lazima kupimwa uzito, urefu, BP, sukari, Corona nk. Strictly, wenye virusi vya Corona hawakupaswa kuchanjwa.

Serikali wako busy wanasimamisha uchumi wao. Kwani maisha ya watu yana thamani kwao?
 
kwaiyo kuniweka wazi unazani ni ujanja??? kama una ushahid si uweke wazi death certificate zao kuwa kwamekufa kwa sabb gani, na sio kuweka vitisho vyakipumbav...madalal ya chanjo kazi munayo...maana matarajio yenu yanakwenda tofaut na mlchotegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE, MMEINGIA CHAKIKEEE EWAAAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…