kwaiyo kuniweka wazi unazani ni ujanja??? kama una ushahid si uweke wazi death certificate zao kuwa kwamekufa kwa sabb gani, na sio kuweka vitisho vyakipumbav...madalal ya chanjo kazi munayo...maana matarajio yenu yanakwenda tofaut na mlchotegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE, MMEINGIA CHAKIKEEE EWAAAA
Huyo jamaa akili zake huwa kama kitunguu.kwaiyo kuniweka wazi unazani ni ujanja??? kama una ushahid si uweke wazi death certificate zao kuwa kwamekufa kwa sabb gani, na sio kuweka vitisho vyakipumbav...madalal ya chanjo kazi munayo...maana matarajio yenu yanakwenda tofaut na mlchotegemea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....MWAKA HUU LAZIMA MCHUCHUMAE, MMEINGIA CHAKIKEEE EWAAAA
Seriously?Leo tuko pamoja mtu wangu wa nguvu.
Hapo umemsahau Keenja na mkewe. Hapo Ar Uliwa wa Matchmaker anazikwa saa hii.
Huko dsm vifo havina hesabu.
Haya tuseme hawajachanja au hizo sindano za chanjo hazichemshwi vzr.
Mungu atuokoe tu.
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Angalau umemjibu. Yaani jinsi zilivyo ukishavuta dawa tu ukachoma ndo nitolee hivyo.Sindano zote sikuhizi ni disposable
Heh, keshavuta? Ila mbona inaonekana ni sukari?Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Just a jokeSeriously?
Wapi wanachemsha sindano hizi siku hizi? Nachojua sindano za siku hizi zilivyotengenezwa yaani ikishatumika tu haifai tena inatupwa. Wapi huko wanakochemsha sindano
😂😂😂😂😂Kuna haja ya kubadilisha neno malaya wa kike kuwa Uviko-19!
Shida ni nini sasaSindano zote sikuhizi ni disposable
Watajwa wote hapo juu wamekufa wakiwa tayari wamechanjwa
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Acha uongo. Unamsingiziaje mtu?Prof Dr Massawe nae kavuta this morning kwa hio ndude.
tumia takwimu za vifo vya Watanzania nchi nzima
matajiri watano sio Watanzania wote wewe Mr. Potato head
Acha uongo. Unamsingiziaje mtu?
He is our family. Alikua anaumwa muda mrefu. Its not COVID.
Tatizo siyo kuhimiza, kama serikali umeweka strategy ya kusimamia hayo unayohimiza???? Kuhimiza kupo ktk nyumba za ibada. Kama serikali haisimamii maagizo yake ni buree tuMbona serikali inahimiza watu kuvaa barakoa na kwenda kupata chanjo. Acha kuisingizia serikali Mkuu!
Hapo kwenye orodha kuna ambaye ana chini ya 60 years?