Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Mwaka huu nchi imepoteza mtu mmoja Tu wa maana naye ni JPJM aka Jiwe...!!
Si kweli Dr Malugu hakufa kama unavyodai. Alikwenda kwenye Hypoglycaemia (Kuishiwa sukari mwilini) kwa muda mfupi sana. Akapewa first aid. Hapo hapo akarudi kwenye hali yake ya kawaida.Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Hata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo
Muhindi uyo Amechomoka izi siku 2Mkuu,, umemsahau mwenyekiti chama cha soka wilaya ya kahama mkoani Shinyanga IBRAHIM KHAN
Mkuu,, umemsahau mwenyekiti chama cha soka wilaya ya kahama mkoani Shinyanga IBRAHIM KHAN
Na matokeo yake ni kuonekana kupungua kwa vifo vya hayo magonjwa mengine maana tunakuwa na vifo vingi vya covid badala ya kisukari presha kansa ukimwi n.kHata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo
Kwenye suala la chanzo cha kifo huwa kuna utata sana.Asilimia kubwa ni covid. Tofautisha vifo miaka yanyuma na sasaiv.
Hata hivyo kuna watu wanakufa sababu ya maradhi mengineyo, isipokuwa uwepo wa Covid-19 unafanya kila mfu kuhusishwa nayo
Janga linahitaji uongozi makini ili kutuvusha bahati mbaya tunongizwa na muimba taarabNdani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Hatuna pesa ya mchezo, hizo chanjo nendeni mkanywee chai. Hizo nchi walizoweka lockdown na kuchukua tahadhari maambukizi yanapungua au yanaongezeka?Ndani ya siku 7 vibopa hawa wa ukweli hatuko nao:
1. Hamoud Mohammed Sumry (aliyekuwa na mabasi ya Sumry)
2. Tonil Somaiya (Shivacom)
3. John Lamba (mwenye Traventine Hotel Dar es Salaam)
4. Mathias Manga (mwenye Gold Crest Hotel)
5. Mzee Asas (Mwenyekiti ASAS group)
Kina yakhe wangapi wameondoka kimya kimya?
Serikali iko kimya kipaumbele chake kusimamisha uchumi.
Mikusanyiko ya watu bila tahadhari iko pale pale.
Angalizo: Chanjo ya Corona si dawa ya kutibu Corona wala nyenzo pekee ya dhahabu itakayotuepusha na gonjwa hili.
Janga linahitaji uongozi makini ili kutuvusha bahati mbaya tunongizwa na muimba taarab
Meja Songoro wa Songoro marine...? 😲😲Saleh Songoro pia gone
Ile clip ya insta anayejitetea pale siyo yeye...?Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.
Anajiita mkurugenzi Mkuu wa afya vyuo na vyuo vikuu 🤣Kuna Clip inatembea kuna Jamaa alikuwa kwenye summit ya covid19 yupo kwenye podium kama akastuck hivi akaanza kama kutaka kudondoka ,ikasikika sauti ya gwajima anasema mkalize chini mkalize chini ,inasemekana jamaa amevuta.