Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

Tofautisha na mapandikizi yenye vyeo vya uafisa vipenyo ndugu. Hakuna Cha kujisifia hapo zaidi ya kufungua macho zaidi. Tuwe macho na wanaokusahau kipaumbele chetu - katiba mpya.

Chadema inayo macho makubwa sana
 
Maokotezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema inayo macho makubwa sana

Usisahau hata kina Petronia walikwea hadi kileleni. Si nadra ndege mjanja kunasa kwenye tundu bovu

Kwamba hakuna rafiki wa kudumu bali agenda... ilikuwa ni faraja tosha.
 
Mbona mh Edward lowasa alikuwa mwanachama wa CCM kuanzia ujana wake hadi uzee wake lakini alipokuja kwenye chama Chenu ndani ya wiki moja hata kabla ya kuwa na gwanda mkampa nafasi ya kugombea Urais? Vipi kuhusu mh sumaye? Mlimpa nafasi gani ndani ya chama Chenu? Si mlimpa uenyekiti wa kanda na ujumbe wa kamati kuu?? Alikuwa mwana chama wenu kwa muda gani? Vipi kuhusu Esther Bulaya? Aliingia lini chadema kabla ya 2015? Lakini si mlimpatia kugombea ubunge japo walikuwepo wengine?
 
Naona Mama amepitisha baada ya kuona jina la Faki,akajua ni Ndugu yake wa kule Kizimkazi![emoji1787]
Ila hachelewi kutengua na kumbakisha kuwa DC!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Nje ya mada
 
johnthebaptist , Mbowe amefiliiwa mali zake, gerezani, akafungwa , Lisu risasi 19/ 39..leo eti hapiganii katiba mpya sababu anakwenda belgium kutibiwa? Unajuaje kama anajiandaa na PhD yake? sasa yeye maandamano atayafanya na nani TZ hapa? Nani yuko tayari kupigwa risasi au kupotez ajira kwa watumishi waserikali walivyo hoyo. Mimi naamini katika vita ya ukombozi tulipofikia na madikiteita wetu.
 

..wapinzani walikuwa wanazodolewa kwa kupokea watu toka Ccm na kuwapa vyeo.

..sasa mtindo huo umehamia Ccm ambapo watu wanatoka upinzani na kunyakua vyeo ktk chama tawala.

..Swali ni, Je, huko Ccm kuna uhaba wa kipaji kama ilivyokuwa kwa wapinzani hapo awali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…