Tunaposema CCM imeishiwa watu muwe mnaelewa Katibu Mkuu UVCCM ametokea CHADEMA

Mbona wengi tu.....

Kwani Mwita Mwikabe Waitara kabla ya kuwa CHADEMA alikuwa wapi ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Kwi Kwi Kwi , Unaandika huku unalia !
 
Vijana wa Mbowe wako Smart Sana
 
Tofautisha na mapandikizi yenye vyeo vya uafisa vipenyo ndugu. Hakuna Cha kujisifia hapo zaidi ya kufungua macho zaidi. Tuwe macho na wanaokusahau kipaumbele chetu - katiba mpya.
Usalama kupenya ndani ya Vyama hakuna tatizo kwani ndio Kazi yao kuhakikisha nchi iko salama


Shida ni usalama kufanya kazi ya ccm
 
Chawa chawa hamna kitu hamuaminiki.......Mh JPM aliteua vijana wengi wa Chadema akiwaacha chawa mnapiga makofi tu
Tunacho....

Tunaaminika...

Wanaonijua watakuambia ya kwamba mimi mmoja tu ni zaidi ya akina Sosopi 50...

UVCCM ina hazina kubwa..... kalaghabaho [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…