Tunaposema huyu mtu hafai tueleweni jamani

Ccm ndiye nyoka.
 
Nyumbu kama Nyumbu. Saccos inawaka moto, mama hangaya pongezi kwa huyu, ila tuletee tena sabaya na Hapi mziki ukolee.
 
Na bado hujasema!
 
Sahihi.
 
Mleta hii positi unastahili kupingwa mno kwa sababu wewe kichwani huna kitu. Ungekuwa karibu ningekula chakula bila kunywa maji megi halafu ningekuja kukunyea sehemu unayolala mavi yanayonuka sana liwe fundisho kwa wachonganishi ka wewe
 
Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!
Inafurahisha kidogo kukusoma?
Swali ni hilo hilo:
Inasikitisha kidogo kukusoma?

Huyo unayemlilia, 'project' yenu mliyo iwekea matumaini ya kuliangamiza taifa hili, kaona upande wenu hamna msaada wa kumbakisha madarakani, kaona akimbie haraka kule mlikokuwa mmemwondoa, akiwa na matumaini kuwa pengine huko ndiko atakakosalimisha nafasi yake anayo ishikilia.

Kwa pamoja, nyote hamfai.

Lakini nisiondoke bila kukupongeza kwa maono yako kuhusu hayo uliyomzungumzia huyo nyoka wenu.
Huyo mtunza 'chawa' wenu ni wazi anatapatapa sasa.
 
Mleta hii positi unastahili kupingwa mno kwa sababu wewe kichwani huna kitu. Ungekuwa karibu ningekula chakula bila kunywa maji megi halafu ningekuja kukunyea sehemu unayolala mavi yanayonuka sana liwe fundisho kwa wachonganishi ka wewe
WoW!
Hizi ni ishara nzuri kwetu sote.
 
You got it right.

Na Samia anayo matumaini, kazi za huyu mtu zitazaa matunda mema kwake.
 
Ufafanuzi mzuri
 
Kwa hapa samia katuangusha sana tunaopambana mitandaoni kwajil yake,

Bashite hafai kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…