Tunaposema huyu mtu hafai tueleweni jamani

Umerudi kulialia. Ya Bandari umeyamaliza? Kama unataka afanye branding ya Samia, 1. hapo kwenye picha angemwekaje Samia?
2. Samia angetokeaje akiwa amepanda punda?
3. Samia angetokeaje akiwa amepanda farasi?
4. Samia angepandaje baiskeli?
Unataka avae sura ya Samia Suluhu Hassan?
Hakuna cha peke yako. Kila mtu ashinde mechi zake.
Ha ha ha ha haaaaaaa umeshinda.
You got it right.

Na Samia anayo matumaini, kazi za huyu mtu zitazaa matunda mema kwake.
Akishauriwa vizuri atafanikiwa na kufanikisha malengo ya chama na binafsi. Basics anazo za kumfanya afanikiwe.
 
[emoji38][emoji38][emoji38]

Baada ya kujifunza na kuelewa kuwa “ I am Incharge of my happiness “ nimejikuta nimeanza kuwa mtu wa kutabasamu na kucheka muda mwingi bila sababu [emoji3][emoji28]
 
Sasa unapoficha jina lake lakini unabandika picha yake, maana yake nini hasa? Ni uoga au unafiki fulani?

Kwani ungemsema straight kwa jina lake kuwa ni Paul Christian Makonda a.k.a Albert Bashite ungepoteza au kupungukiwa na nini eti?

Kila mtu mfuatiliaji wa siasa za Bongo hii hususani katika kipindi kile cha giza (2015 - 2021) cha Rais hayati John P. Magufuli anajua kuwa Paul Makonda alikuwa ndiye kiongozi wa kikosi cha kuteka, kuumiza kwa mateso na kuua eti ili kulinda au kuuhami utawala wa serikali uliokuwa chini ya CCM na Rais Hayati John P. Magufuli?

Swali kubwa ni Je, aliweza? Obvious jibu ni BIG NO. Alishindwa big time.

Ni ajabu kuwa Rais Samia na CCM yake ya leo nayo imeshindwa kushawishi wananchi waikubali badala yake mme - opt njia na mbinu zile zile za Jiwe ktk kuuhami utawala wao tena kwa kuamua kumtumia mtu yuleyule (Makonda) aliyeleta uharibifu na taswira mbaya ya nchi ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.

Hii maana yake ni kuwa, CCM inatuma ujumbe kwa umma kuwa haina watu wenye akili na maarifa ya kukitetea badala yake Makonda tu ndiye anayefaa miongoni mwa mamia ya wanaCCM..

Poleni sana na tunawaombea kifo cha kisiasa kiwazukie kama mwenye anyakuaye kifaranga!
Sijui wanaoisapoti CCM ni akina nani?!!
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Kila mtu unayemuona humu Tanzania kwenye medani za siasa ana kazi yake.Umesema alitumiwa na kundi lakini elewa kwamba kabla ya kundi ambalo hulipendi huyo usiyempenda alikuwa kwenye kundi linalotawala sasa na 2015 alitumika vizuri na timu Membe kumtukana Lowasa.
Kwaiyo ata sasa katumwa kwenye kazi maalumu ambayo wote hatujui isipokuwa walio mteua ndiyo wanajua.
"Siasa ni mchezo mchafu",ata kama humpendi ndiyo usiyempenda kaja tayari kwa maslahi ya Wakubwa!!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Ha ha ha ha haaaaaaa umeshinda.

Akishauriwa vizuri atafanikiwa na kufanikisha malengo ya chama na binafsi. Basics anazo za kumfanya afanikiwe.
Huu mstari wako mmoja, umetumia akili kuutunga, lakini 'premise' nzima ni mbovu.

"...malengo ya chama na binafsi" yasiyo kuwa ya manufaa kwa nchi yana faida gani? Mtu mbovu, mwenye historia ya hovyo kabisa "ashauriwe vizuri" kwa malengo maovu; ndiyo yawe mafanikio ya kuzungumzia hapa?

Hizi "Basics" ni zipi hasa, ..., 'populism' za kupanda malori huko vijijini. Maigizo ya kukutana na wazee na wastaafu kwa kutegemea ndio wawe 'influencers' wa umma?
Hizi hada mnazo wafanyia waTanzania ni dharau ya hali ya juu sana. Mnawaona hawa watu hawana akili kabisa vichwani!

"Basics" juu ya malengo ya chama, hebu tueleze mahali popote alipo zizungumzia huyo mtu, ili watu waweze kuzielewa.

Nimesema umetunga mstari kwa kuunga unga maneno, unaoonekana kuwa na maana kubwa, lakini kiuhalisia hauzungumzii chochote kinacho eleweka.
 
Nilichomaanisha na ulichoelewa ni tofauti kwa kiasi fulani. Kwenye siasa ya Tanzania kuna watu wa aina tatu: waovu ambao maovu yao yako wazi,waovu ambao maovu yao hayako wazi na waovu wanaosubiri upenyo wa kufanya uovu. Sasa muovu ambaye anajulikana ni mwepesi kuliko usiyemtarajia.
Sinaga tabia ya kupingana na vitu nisivyoweza kuvibadili,Makonda ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,nimkubali nisimkubali ni yeye,sasa nachoweza kukizungumzia ni kimoja,mafanikio yake na ya chama yanategemea waliomzunguka na wanaomshauri.

Basics nilizomaanisha ni kuwa kwa nafasi aliyopewa vile vigezo visivyohitaji uzoefu wa miaka mingi anavyo viwe vya kuzaliwa au malezi ndani ya chama.

Tuendelee ila ondoa hisia.
 
Kama kuna kosa amewahi kufanya Rais Samia na linaweza kuja kumgharimu Big time ni kumuamini huyu nyoka aliyekuwa kiongozi wa kundi la watu fulani waliokuwa wakitumika kwa mlengo wa kikundi fulani( Jina linafahamika)

Mengi yalisemwa kunusu huyu mtu ila kuu ni kuwa huyu mtu ni muumini mtiifu sana wa lile kundi ambalo bado linaamini lenyewe ndo lenye hatma ya Tanzania na linataka kuongoza Tanzania kwa maslahi yako na wala sio maslahi ya Tanzania

Ukiangalia tangu alivyopewa nafasi ya kisiasa chamani anachofanya ni kujibrand mwenyewe na wala sio chama wala kiongozi wa chama kama alivyotegemea

Matangazo mengi anayoyatoa, picha anazopiga kwa mtu mwenye akili unayelielewa lile kundi unagundua kabisa ni za kujijenga yeye kwa maslahi ya lile kundi lake.

Maneno anayotamka ni kama kuwaamsha wafuasi wa lile kundi ambalo kwa kiasi kikubwa walikuwa wanalijenga kundi lao na sio utengamano wa Taifa kwa maslahi ya Taifa.

Wengi tulisema na sasa tunasema tena. Rais wetu Samia, nyoka ni nyoka, kamwe akaribishwi chumbani..

Taasisi nyeti iliikoa nchi yetu kuingia kwenye siasa za Rwanda na Burundi kwa kumuondoa huyu mtu. Sasa umemrudisha. Kama hujashtuka utapata majibu soon!

View attachment 2825643
Nasemaje Mlitaka kumtumia Makonda lkn Makonda naye atawatumia ninyi kama ngazi kufikia malengo yake.
 
Hivi ni kweli hayo 👆👆👆unayoyasema???
 
Nyumbu kama Nyumbu. Saccos inawaka moto, mama hangaya pongezi kwa huyu, ila tuletee tena sabaya na Hapi mziki ukolee.
Kwenye orodha umemsahau Gekuli, tena amteue kuwa katibu mkuu, Sabaya awe Makamu Mwenyekiti wa chama, ili kuifanya CCM ionekane wazi kuwa ni chama cha wauaji, watekaji na washenzi.
 
Ogopa sana kundi la wajinga wenye confidence
Hitler alipanda hivi hivi na kuja kufanya mauji ya kutisha. Hata magufuli wakati anapewa urais alifahamika tabia yake. Alichokuja kifanya baada ya kuwa rais Kila mtu aliona. Kila mtu alijua kwa uhakika ni kwa kiwango gani katiba yetu ni kijitabu chini ya utawala wa Magufuli.
 
Kufa kabisa ,kama vipi hama nchi,Rais ana watu waliobobea kwenye ushauri,urais ni taasisi siyo porojo,kama unaona anakuzibia riziki hama nchi uende burundi,chuki zako zitakuua mapema sana
Muuaji Makonda angefaa sana kupewa madaraka makubwa kwenye nchi kama Somalia, na hasa kwenye lile kundi la Alshabab. Isingepita miaka mingi kupandishwa na kupewa cheo kikubwa ndani ya makundi kama hayo. Ndani ya mifumo inayozuia uuaji, yeye alipenya mpaka kufanikiwa kuteka na kuua kiasi hadi cha kufahamika na mataifa makubwa kama USA kuwa yeye ni muuji (anayewanyima watu haki za kusihi), akiwa kwenye mfumo unaopalilia mauaji, bila shaka atafanikiwa sana katika kazi hiyo ya kishetani.
 
You got it right.

Na Samia anayo matumaini, kazi za huyu mtu zitazaa matunda mema kwake.
Ni pale mtu anapoamua kumtafuta jambazi mkuu awe mlinzi wake akijua kuwa hakuna jambazi atakayemtishia kwa sababu yeye ameshikamana na jambazi mahiri zaidi kwenye ujambazi. Ni sawa na ule msemo kuwa mpe mchawi akulelee mwanao kwa kuamini hakuna mchawi atakayemnyemelea.

Samia inaonekana amekuwa na tamaa ya uongozi kiasi cha kuwa tayari kufanya chochote alimradi kama itamsaidia kuulinda Urais.
 
Back
Top Bottom