hiyo ni aina nyingine ya ukoloni sio upendo kama unavyojidanganya.
Wake up acha ujinga marekani hajawahi kutoa msaada usio na faida kwake. So unataka kuniambia ile midege yote kaja kutoa msaada. Is a money trap wanataka kutafuta kuungwa mkono kwenye vita na urusi
Hawa wajinga wameharibiwa na siasa za kitapeli za viongozi wetu kuwe nchi yetu ni tajiri sana. Eti wazungu wanaitamani nchi kutokana na mali tulizo nazo. Wakati uhalisia ni hakuna kitu.Kuna nini cha kuibiwa Tanzania ambacho hakipo Marekani??
Kama hujui kingwreza tafta mtu akutafsirie. Baada ya kuona hii video nafikiri utaufuta uzi wako mwenyewe bila usumbufu
Vipi kuhusu ushoga upo tayari kulipokea hilo na upo tayarri kutongozwA?Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Wewe ndoo kiaziiiiSasa mimi ndio kiazi au huyo anayenielewa ? nadhani niite mimi kiazi badala ya wanaonielewa , napokea matusi ya aina zote .
Wale jamaa washashika calculator wanapiga hesabu waongeze ngapi kwenye Invoice, tunapigwa tu kila siku
Hii vita ya vinyesi tumemuachia BRIGEDIA MABWANGA atuongozeVipi kuhusu ushoga upo tayari kulipokea hilo na upo tayarri kutongozwA?
... yaani Marekani awagawie ARV's za bure ili mumuunge mkono? Watu mnaharisha ukimwi mnamuunga mkono kwa lipi? That's just a humanitarian aid elewa hilo Mkuu.Wake up acha ujinga marekani hajawahi kutoa msaada usio na faida kwake. So unataka kuniambia ile midege yote kaja kutoa msaada. Is a money trap wanataka kutafuta kuungwa mkono kwenye vita na urusi
Utamu wa asali?Sasa hebu kila Mwanajf aainishe mwenyewe vitita vya pesa ambavyo Makamu wa Rais wa Marekani ameahidi Nchi yake itaichangia Tanzania , Sasa jioneeni wenyewe huruma waliyonayo Wazungu kwenu Watanzania .
Pamoja na kwamba wanatambua kuwa baadhi ya viongozi wenu waliokosa maono wanawaita Mabeberu lakini hawajawakatia tamaa , bado wanaendelea kuwasaidieni kiroho safi kabisa , tena wala hawakusema hatuwapi hela kwa vile Ripoti ya CAG imedai kwamba tuna viongozi wezi , wametoa tu kiroho safi kabisa , kazi ibaki kwenu wenyewe na wizi wenu .
Narudia tena , " Mungu Wabariki Wazungu"
Tangu kikwete atembee kwa wazungu miaka yake kumi nini tanzania imeafaidi na shida zipi zimeisha?Akikujibu nistue
[emoji848][emoji848] kwani wanatoa bure bure!![emoji23]
Sawa mkuuuHii vita ya vinyesi tumemuachia BRIGEDIA MABWANGA atuongozeView attachment 2571299
Sidhani kama hizo hela zinatoka kwao za walipa Kodi wao,wanatulainisha tu ila watuibie vizuri........sisi Africa tumekosa viongozi tu .............wangekuwa na huruma wangewasaidia homeless huko kwao maana wapo kibao......
Hizo ni propaganda za kijinga sana , swali lako ungeuliza viongozi wako wanaopokea misaada hiyoVipi kuhusu ushoga upo tayari kulipokea hilo na upo tayarri kutongozwA?
Wewe umewahi kutongozwa?Vipi kuhusu ushoga upo tayari kulipokea hilo na upo tayarri kutongozwA?