Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

Kwa mara ya kwanza leo nimemuona Mama kakasirika, mpaka kawaita watoto wa mjini-Mijitu! Katukana Stupid yaani pumbavu! JPM alishawahi kutukana kuwa '..mambo ya kipumbavu...'

Mkasema ninyi hamjalelewa kufokafoka bali kalamu itaongea-SI-KWA TANZANIA!Mama kaza wabongo noma
 
Jinga wewe. Alikula wapi? Hujielew. Mchukie uwezavyo ila sisi ndo Rais bora kuwahi kutokea
Hao ndio wakwapuaji wa fedha za watanzania, wapo kumtukana JPM kwa manufaa yao!

Ukiwauliza hiyo T 1.5 aliipeleka wapi JPM hana jibu ingawa JPM hayupo ofisini miaka zaidi ya miwili sasa
 
Tumkumbuke JPM kwa lipi?? Aliiba na kuficha hela uchina, aliruhusu akina Sabaya na Makonda wawapole watu hela kwa jina lake, hakupenda kusikia serikali yake ikisemwa bali alipenda sana kusifiwa kwa data za uongo uongo... alikuwa Rais wa hovyo kuwahi kutokea nchi hii
 
Enzi za JPM hii report ilikua inafichwa mbali kabisa na CAG akatukanwa matusi ya nguoni na kutimuliwa kazi kwa kosa la kuibua wizi wa serikalini.
 
Mnamkumbuka Kwa kuficha na kupika taarifa za CAG??
Yeye alipika taarifa siyo? Ona sasa manvyopakuliwa. Nyinyi mnasema hivyo kwa chuki tu, labda wewe au ndugu yako alitolewa kazini kwa vyeti feki, au uliiba ukaliwa kichwa, huwezi kumuelewa JPM
 
JPM huyu huyu aliingia mitini na trillion 1.5 alafu akamchukia assad kwa kusema ukweli na akavunja katiba akamuondoa kihuni usifanye watu kama watoto au wajinga kama wewe tunakumbuka vizuri sana

Hawawezi kuona hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…