Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!