Mnajifanya vichwa ngumu nyie rudia soma ripoti zote za kipindi cha john hayo unayosema yalikuwepo.
Mnajizima data sasa hivi wizi wa mali na fedha za umma umekuwa mkubwa mno.
Halo CAG amejitahidi kupunguza lkn bado wizi ni mkubwa
Hivi kwa akili za kawaida mkataba umesaini na mmekubaliana vizuri inakuwaje mtu aje akubadilike tena alafu serikali inalipa hela kirahisi tu.
Bwawa la nyerere eti kuchenji hela tu kwenye kulipa imeongezeka bilioni 120 hivi tuko serious na nchi au mnatupoteza na makelele yenu.
Sent from my SM-G960U using
JamiiForums mobile app