Tunaposema tutamkumbuka Hayati Magufuli anayekuwa akipinga hilo ni wafuja pesa za wananchi!

Magufuli was a country bumpkin.
 
Unataka pesa za China ziende wapi tena? Tafuteni zenu wapuuzi nyie

Mnasena China kuna mapesa yamefichwa bila kuyafuata ni kelele kama kelele zingine

Serikali imeamua kuwasitiri tu wajinga nyie mtavuliwa nguo kenge nyinyi
 

Ni jibu ziliandaje China pesa then nakurudia
 
Halafu msitubadilishie mada. Tujikite yanayojiri kwenye ripoti hii ya sasa, msianze ooh pesa ziko china, mara ooh 1.5 trillion
Tunataka uwajibikaji walioiba mabilioni pamoja na pesa za ndege ya mizigo.
Mpo na lengo la kutaka kuwasafisha watu.

Mulizeni kipara ngoto kwenye mradi huko wa umeme imekuaje
 
Ni MPUMBAVU tu anayeweza kumdhihaki JPM. Zaidi sana yanayomdhihaki na kumnenea kila neno baya JPM ni yale MAJIZI na MANYONYA DAMU za watu ambayo JPM aliyatupilia mbali na Mama akayasogeza chumbani.

Hahaha poleni mfateni aliko
 

Jibuni hoja hapa
 

Na huyu ndo Rais wetu wenu sijui alienda wapi
 
UZUSHI:JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano
 
Mkumbuke siompaka utuambie! Kama alikufanyia mengi mkumbuke ustulazimishe.
Sisi tunawatu tunawaheshimu nao walituheshimu tunawakumbukaga kimya hatukuringishii....
 
Mkumbuke siompaka utuambie! Kama alikufanyia mengi mkumbuke ustulazimishe.
Sisi tunawatu tunawaheshimu nao walituheshimu tunawakumbukaga kimya hatukuringishii....

Hiyo point mzee mbona kama wanatulazimisha ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…