Ungekua japo unaelewa a,b,c ya ukaguzi wa mahesabu 'auditing'. Inaonekana unarudiarudia maneno uliyodikia kama kasuku.JPM huyu huyu aliingia mitini na trillion 1.5 alafu akamchukia assad kwa kusema ukweli na akavunja katiba akamuondoa kihuni usifanye watu kama watoto au wajinga kama wewe tunakumbuka vizuri sana
Kweli mkuu,?Nimekutana naye UDSM - Mlimani juzi kata yupo na IST.
Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Mwaka uliofata akapiga 800bn bila maelezo yoyote...JPM huyu huyu aliingia mitini na trillion 1.5 alafu akamchukia assad kwa kusema ukweli na akavunja katiba akamuondoa kihuni usifanye watu kama watoto au wajinga kama wewe tunakumbuka vizuri sana
Ndo maajabu ya magufuli mtu aliyekua anamsanua kwamba kuna uwizi ndo akatokea kumchukia ile mbaya alafu anaitwa muadilifuMwaka uliofata akapiga 800bn bila maelezo yoyote...
Baada ya hapo akaona huyu CAG anamwanika, akamfukuza kinyume cha katiba!
Kabisa ! Umenena kweli tupu !Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Ziko wapi hizo pesa?? Mbona wengine mali na miradi yao inajulikana ??!! Jamaa alikuwa ana tabia ya kulazimisha pesa ziingie kwenye miradi ambayo yeye aliamini ina manufaa kwa Nchi bila kusubiri idhini kutoka bungeni ! Hilo ndilo lililokuwa kosa lake lakini sio kwamba alikuwa ni mpigaji ! Onyesheni miradi na Mabiashara yake mbona ya wengine yanajulikana ??!Mwaka uliofata akapiga 800bn bila maelezo yoyote...
Baada ya hapo akaona huyu CAG anamwanika, akamfukuza kinyume cha katiba!
We ndo makamba?Haya ndiyo aliyotufanyia Laanatullahi Magufuli Mungu atamlipa huko aliko
We ndo makamba?
Ninachojua, lazima mafisadi mmulalamimikie tu magufuli
Hizo 1.5 aliwekeza wapi? Mmesema alipeleka china mara aliweka wapi, fedha nyingi kiasi hicho haziwezi kujificha na kwa namna ambavyo mlimchukia sasa kila kitu mngekuwa mmeweka wazi.JPM alikua mpiga dili zaid ya marais wote kwa mara moja tu aliingia mitini na trillion 1.5
Mnajifanya vichwa ngumu nyie rudia soma ripoti zote za kipindi cha john hayo unayosema yalikuwepo.Enzi ya JPM usingesikia taarifa za ATCL, TRC au bwawa la Mwalimu Nyerere, Wala Plea Bargaining, angeficha
Uzushi tu wa wapigajiAlipeleka wapi hizo hela, maana trilioni 1.5 ni nyingi mpaka leo huwa najiuliza aliwekeza wapi hizo hela?
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mkuu, mafisadi wamekuwa na hasira na JPM tangu yalipo nyang'anywa ulajiMnajifanya vichwa ngumu nyie rudia soma ripoti zote za kipindi cha john hayo unayosema yalikuwepo.
Mnajizima data sasa hivi wizi wa mali na fedha za umma umekuwa mkubwa mno.
Halo CAG amejitahidi kupunguza lkn bado wizi ni mkubwa
Hivi kwa akili za kawaida mkataba umesaini na mmekubaliana vizuri inakuwaje mtu aje akubadilike tena alafu serikali inalipa hela kirahisi tu.
Bwawa la nyerere eti kuchenji hela tu kwenye kulipa imeongezeka bilioni 120 hivi tuko serious na nchi au mnatupoteza na makelele yenu.
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Ni kweli sio kwa upuuzi huu ambao wakati wake uliondolewaKwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Huna akili kabisa .
Nchi ilifikaje uchumi wa kati?
Where is 1.5T?Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Ndo utuambie wewe kwamba ziko wapi?Where is 1.5T?
Hayo matusi yametungwa miaka mingi sasa na hayana maana?Jipige kifua kisha sema ww ni kubwa jinga
Mbona CAG aliposema 1.5 Trillion imekua understated mkawa wakali Hadi mkasema anatumika na mabeberu!! Mkamtuma Polepole na Ndugai kumtukana Leo hii ndio mnasema JPM alikua anatekeleza mapendekezo ya CAG??Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!