Hayuko ofisini sasa, Hata sasa kuna zuio la kutokukaguliwa manunuzi ya ndege?Mbona CAG aliposema 1.5 Trillion imekua understated mkawa wakali Hadi mkasema anatumika na mabeberu!! Mkamtuma Polepole na Ndugai kumtukana Leo hii ndio mnasema JPM alikua anatekeleza mapendekezo ya CAG??
Nitaandaa Uzi kuonyesha how huu ni upotoshaji mkubwa maana ni JPM aliyezuia manunuzi ya ndege kukaguliwa, pia aligoma mfuko wa Rais kukaguliwa, pia alishusha bajeti ya CAG kwa 50% Ili kumdhoofisha
Hadi kina polepole wakaja na hesabu za ubaonijpm aliingia mitini na trillion 1.5
Hakuna Kiongozi alikuwa Mpigaji kama JiweKwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Ndio maana unaona hasara za ATCL zimewekwa wazi maana enzi zile ilikua mwiko kukagua manunuzi ila Kwa Sasa hadi CAG kasema manunuzi yaligubikwa na ufisadi hadi Mama akasema "stupid"...... Kwa JPM haikua hivyo aliminya taarifa zote kufika kwa CAG. So mnapotosha mnaposema eti it was different enzi za JPM!!Hayuko ofisini sasa, Hata sasa kuna zuio la kutokukaguliwa manunuzi ya ndege?
Mnakwama wapi mkuu
Hivi haya malalamiko ya Tr 1.5 tumewahi kujiuliza kwamba zilienda wapi?Ndio maana unaona hasara za ATCL zimewekwa wazi maana enzi zile ilikua mwiko kukagua manunuzi ila Kwa Sasa hadi CAG kasema manunuzi yaligubikwa na ufisadi hadi Mama akasema "stupid"...... Kwa JPM haikua hivyo aliminya taarifa zote kufika kwa CAG. So mnapotosha mnaposema eti it was different enzi za JPM!!
Mfano si tuliambiwa NIDA wanafuja pesa na hawafanyi lolote, hivi JPM alifanya Nini mbona mpaka Leo NIDA ni jipu? Tuliambiwa pia trillion 1.5 haikupita mfuko mkuu JPM alichukua hatua gani zaidi ya kumtaka CAG akanushe hakuna ufisadi!
Alipeleka wapi na unaushahidi upi Mkuu,Hakuna Kiongozi alikuwa Mpigaji kama Jiwe
Hata la Bandari ya Bagamoyo mlisema JPM kama kawaida yake ameamua kukataa tu Bandari isiwepoKipindi Cha Magufuli mambo mengi sana yalikuwa yanapikwa. Media zilitumika vibaya kutangaza mafanikio ya haya mashirika ambayo Leo hii tunaambiwa yamekuwa yakijiendesha kwa hasara. Kuna siku maalumu ilitengwa kuuonyesha umma kuwa yamepiga faida hadi yakaja kutoa gawio serikalini. Yaani sijui tu hii nchi yetu.....katiba ni lazima
Tuko pamoja mkuu,nimependa analysis yako,this is what I stand for.Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Maendeleo chumbani kwako kenu ninyi wapigajiMaendeleo lukuki na uchumi unakua kwa nguvu
Ukiangali upigaji mkubwa umefanyika before Rais Samia Suluhu kushika kijiti na ndio maana Rais Samia Suluhu ameruhusu shughuri za serikali kufanyika kwa uwazi ili tuendelee kujua Ubadhilifu unaoendelea serikalini na yeye kuchua hatua kwa wale wote watakaogundulika.Kwa report hii ya mkaguzi wa fedha za Serikali CAG kuwa na upotevu mkubwa wa mabilioni ya fedha za wavuja jasho masikini wa Kitanzania, walah JPM angekula vichwa vyote na kujiongezea wapinzani wapya leo!
Nchi hii bila kitengo cha kuwapoteza hawa mafisadi ni sawa na kufuga mbwa kichaa mwenye uwezo wa kupanda na kuzalisha mitoto mingine yenye ukichaa Uleule
Huyu JPM anayesemwa kuwa ni mwizi,
JPM hana nyumba Ughaibuni kama wenzake! Hana hotel yoyote, hana mashamba na wala uwekezaji wowote ule nchini na nje Nchi!
Huo uwizi unaodaiwa kufanywa na yeye, alipeleka wapi na kwenye uwekezaji upi zaidi ya madaraja makubwa nchini na miundombinu mingine?
Leo tumeanza kupata mawaziri wanaohonga penzi kwa gharama ya M400+, hii ni nini kama siyo upigaji wa kodi zetu! Mawaziri kama hao, JPM kuwatimua kwenye ulaji, wasimseme vibaya kweli?
Tuna miaka miwili sasa mwamba hayupo! Je, ni lini sasa tutaambiwa alikoficha/alikopeleka hizo 1.5tr, ambazo zimesemwa na zimeendelea kusemwa kuwa alikwapua?
CAG, badala ya kuja na ubadhirifu wa manunuzi ya ndege kipindi cha JPM zinazokuwa zikidaiwa kuwa kuna ufisadi mkubwa, badala yake kaja na ubadhirifu ununuzi wa ndege ya mizigo iliyotolewa tenda kutengenezwa juzi tu na Rais aliyepo sasa,
Haya tuendeleeni kayalea haya majibwa kichaa kama yataona huruma kutafuna pesa zetu!
Well said aisee JPM alifanya mambo yake kwa siri sana ili watanzani awasigundue upigaji unaoendelea serikalini lakini kipindi cha uongozi wa Rais Samia kila kitu kiko wazi na uzuri wa Mama hana timu kwaiyo wote waliohusika lazima wachukuliwe hatuaMbona CAG aliposema 1.5 Trillion imekua understated mkawa wakali Hadi mkasema anatumika na mabeberu!! Mkamtuma Polepole na Ndugai kumtukana Leo hii ndio mnasema JPM alikua anatekeleza mapendekezo ya CAG??
Nitaandaa Uzi kuonyesha how huu ni upotoshaji mkubwa maana ni JPM aliyezuia manunuzi ya ndege kukaguliwa, pia aligoma mfuko wa Rais kukaguliwa, pia alishusha bajeti ya CAG kwa 50% Ili kumdhoofisha