Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hujui kuwa kuna pesa nyingi zilitengwa lakini. Halima akawa anashinda mahakani bila kuzifuatilia zisaidie watu wa kawe?Maswali ya multiple choice. Weka ndio au hapana.
We hujui kuwa kuna pesa nyingi zilitengwa lakini. Halima akawa anashinda mahakani bila kuzifuatilia zisaidie watu wa kawe?
Chagu, Rais hawezi kuzungumza kwa utani. Kauli ya Rais ni sheria, amri ya Rais inafuatwa na utii. Unapowaambia wananchi shauri yenu na Bwege wenu !! Kweli inaingia akilini. Unawasimanga wananchi na taa za barabarani kisa hawakuichagua Ccm ?! .Nafikiri hata Esther Bulaya au Mbowe umeshawashuhudia wakikagua miradi inayotekelezwa na Ccm. Alichomaanisha JPM ni kuwa akipata mbunge wa Ccm kuna kuwa na urahisi wa kufanya nae kazi,maana kama ni mzembe inakuwa rahisi kumwajibisha kama mwenyekiti wa chama. Hayo mengine ni utani tu wa JPM.
Mbona unaenda mbele unarudi? Kwa hiyo unakubali hata mbunge wa upinzani anaweza kuleta maendeleo.Chagu, Rais hawezi kuzungumza kwa utani. Kauli ya Rais ni sheria, amri ya Rais inafuatwa na utii. Unapowaambia wananchi shauri yenu na Bwege wenu !! Kweli inaingia akilini. Unawasimanga wananchi na taa za barabarani kisa hawakuichagua Ccm ?! .
Umemsikia mwingine naye anasema askari wao akiharibu risasi 3 bila shabaha awajibishwe sembuse na risasi 16 ?!. Huu ni ulevi wa madaraka.
Chagu, majimbo mangapi yaliopiga hatua kwa sababu tu yapo Ccm ?. Mengi ya hali mbaya sana eg misungwi, solwa, kishapu nk . Wakati mwingine afadhali na yale yanayoongozwa na wapinzani.
Kitimoto ilikuwa DTV!
Nafikiri hata Esther Bulaya au Mbowe umeshawashuhudia wakikagua miradi inayotekelezwa na Ccm. Alichomaanisha JPM ni kuwa akipata mbunge wa Ccm kuna kuwa na urahisi wa kufanya nae kazi,maana kama ni mzembe inakuwa rahisi kumwajibisha kama mwenyekiti wa chama. Hayo mengine ni utani tu wa JPM.
Kwahiyo HAKUNA haja ya kuwa na mbunge???Hivi mbunge huwa ana "vote" ama huwa anakusanya kodi katika jimbo lake? Kama jibu ni hapana hili swali "Halima Mdee kafanya nn kwa miaka 10 katika Jimbo la Kawe msingi wake ni nini?
@Paschal mayallaNi 'Akili' ya kawaida tu isiyotaka ujihangaishe sana tu Kujua kuwa Kukaa Kwako Kawe ambako pengine kutokana na 'Unafiki' wako kama 'Mdau' kama hakuna Maendeleo basi haimaanishi kuwa Kawe nzima hakukuwa na Maendeleo. Tena nadhani Mbunge Halima Mdee anastahili Kongole / Pongezi nyingi tu kwani pamoja na 'Kuandamwa' mara kwa mara na Kesi zisizo na Kichwa, Miguu na Kiuno mara Kusumbuliwa na Spika Ndugai huku akikosa 'Ushirikiano' wa Serikalini lakini bado tu Dada wa Watu ameweza Kujitahidi Jimboni.
Wakati tukiwa ni 'Viherehere' tena tuliojaa 'Unafiki' mwingi leo hii tukiwa tunauliza Halima Mdee kafanya nini ndani ya miaka yake 10 kama Mbunge na Sisi pia tujiulize je, kwa miaka yetu zaidi ya 25 hadi 30 katika 'Tasnia' zetu fulani fulani za 'Kijamii' na Sisi tumefanya lipi la maana ambalo tunavyoelekea 'Uzeeni' sasa Watanzania 'watatuumbuka' na kuonekana uwepo Wetu umeleta Tija na Kuchangia katika Maendeleo ya Taifa letu hili.
Halafu siku zingine tuwe makini na 'Kuhoji' kwetu kwani ni aibu pia kwa Mwanaume mzima mwenye 'Akili' zako tena Baba wa Familia kabisa 'Kuhoji' Ufanisi wa Mwanamke ambaye kwa 'takribani' miaka yake yote Kumi ( 10 ) kama Mbunge wa Kawe aliweza Kuchaguliwa na 'Kura' zipatazo 107,989 ( 2015 ) wakati wengine kama akina Sisi GENTAMYCINE katika 'Kura' za Utiaji Nia tu pekee 'tumeambulia' Kura Moko ( Moja ) pamoja na 'Umaarufu' wetu wote Mitandaoni humu ( siyo JamiiForums ) na Mitaani pia.
Ushauri wa bure tu tukisaidie Chama chetu CCM 'Kushinda' ila 'tukome' kuhoji 'Mafanikio' ya Watu wakati wengine yetu tu Watanzania hawayajui.
Kasome kazi za mbunge mkuu. Halafu urudi hapa.Kwahiyo HAKUNA haja ya kuwa na mbunge???
na matoeko yake yeye ndiyo amakua na akili kama za kitimoto.Atakwaambia alianzisha/aliendesha kipindi cha "Kitimoto" kwa mafanikio akiwa ITV!!
Duuuh! umemaliza! sijui siku hizi mzee anafikiria kwa kutumia nn? hivi ni kweli Mwaafrika akizeka na uwezo wa kufikiri unapungua!Ni 'Akili' ya kawaida tu isiyotaka ujihangaishe sana tu Kujua kuwa Kukaa Kwako Kawe ambako pengine kutokana na 'Unafiki' wako kama 'Mdau' kama hakuna Maendeleo basi haimaanishi kuwa Kawe nzima hakukuwa na Maendeleo. Tena nadhani Mbunge Halima Mdee anastahili Kongole/ Pongezi nyingi tu kwani pamoja na 'Kuandamwa' mara kwa mara na Kesi zisizo na Kichwa, Miguu na Kiuno mara Kusumbuliwa na Spika Ndugai huku akikosa 'Ushirikiano' wa Serikalini lakini bado tu Dada wa Watu ameweza Kujitahidi Jimboni.
Wakati tukiwa ni 'Viherehere' tena tuliojaa 'Unafiki' mwingi leo hii tukiwa tunauliza Halima Mdee kafanya nini ndani ya miaka yake 10 kama Mbunge na Sisi pia tujiulize je, kwa miaka yetu zaidi ya 25 hadi 30 katika 'Tasnia' zetu fulani fulani za 'Kijamii' na Sisi tumefanya lipi la maana ambalo tunavyoelekea 'Uzeeni' sasa Watanzania 'watatuumbuka' na kuonekana uwepo Wetu umeleta Tija na Kuchangia katika Maendeleo ya Taifa letu hili.
Halafu siku zingine tuwe makini na 'Kuhoji' kwetu kwani ni aibu pia kwa Mwanaume mzima mwenye 'Akili' zako tena Baba wa Familia kabisa 'Kuhoji' Ufanisi wa Mwanamke ambaye kwa 'takribani' miaka yake yote Kumi (10) kama Mbunge wa Kawe aliweza Kuchaguliwa na 'Kura' zipatazo 107,989 (2015) wakati wengine kama akina Sisi GENTAMYCINE katika 'Kura' za Utiaji Nia tu pekee 'tumeambulia' Kura Moko (Moja) pamoja na 'Umaarufu' wetu wote Mitandaoni humu (siyo JamiiForums) na Mitaani pia.
Ushauri wa bure tu tukisaidie Chama chetu CCM 'Kushinda' ila 'tukome' kuhoji 'Mafanikio' ya Watu wakati wengine yetu tu Watanzania hawayajui.
Alichofanya Halima Mdee hakina tofaiti kimaendeleo ya vitu na alichofanya Mwigulu, Ndugai, Mwakyembe, Makamba, Nape, Majaliwa. Atleast Halima alionesha kwa vitendo kuyataka maendeleo halisi na kupigania haki na utawala bora. Hata hivyo wana kawe wa Mwenge, Masaki, Mikocheni O-bay hawana shida ya barabara maji wala umeme. Shida yao ni haki, uhuru, demokrasiaNi 'Akili' ya kawaida tu isiyotaka ujihangaishe sana tu Kujua kuwa Kukaa Kwako Kawe ambako pengine kutokana na 'Unafiki' wako kama 'Mdau' kama hakuna Maendeleo basi haimaanishi kuwa Kawe nzima hakukuwa na Maendeleo. Tena nadhani Mbunge Halima Mdee anastahili Kongole/ Pongezi nyingi tu kwani pamoja na 'Kuandamwa' mara kwa mara na Kesi zisizo na Kichwa, Miguu na Kiuno mara Kusumbuliwa na Spika Ndugai huku akikosa 'Ushirikiano' wa Serikalini lakini bado tu Dada wa Watu ameweza Kujitahidi Jimboni.
Wakati tukiwa ni 'Viherehere' tena tuliojaa 'Unafiki' mwingi leo hii tukiwa tunauliza Halima Mdee kafanya nini ndani ya miaka yake 10 kama Mbunge na Sisi pia tujiulize je, kwa miaka yetu zaidi ya 25 hadi 30 katika 'Tasnia' zetu fulani fulani za 'Kijamii' na Sisi tumefanya lipi la maana ambalo tunavyoelekea 'Uzeeni' sasa Watanzania 'watatuumbuka' na kuonekana uwepo Wetu umeleta Tija na Kuchangia katika Maendeleo ya Taifa letu hili.
Halafu siku zingine tuwe makini na 'Kuhoji' kwetu kwani ni aibu pia kwa Mwanaume mzima mwenye 'Akili' zako tena Baba wa Familia kabisa 'Kuhoji' Ufanisi wa Mwanamke ambaye kwa 'takribani' miaka yake yote Kumi (10) kama Mbunge wa Kawe aliweza Kuchaguliwa na 'Kura' zipatazo 107,989 (2015) wakati wengine kama akina Sisi GENTAMYCINE katika 'Kura' za Utiaji Nia tu pekee 'tumeambulia' Kura Moko (Moja) pamoja na 'Umaarufu' wetu wote Mitandaoni humu (siyo JamiiForums) na Mitaani pia.
Ushauri wa bure tu tukisaidie Chama chetu CCM 'Kushinda' ila 'tukome' kuhoji 'Mafanikio' ya Watu wakati wengine yetu tu Watanzania hawayajui.
Msingi wake Mkuu ni kwamba aliyeuliza ni Mwanaume katika 'Kutia Nia' tu kapata 'Kura' 1 wakati 'anayemuhoji' Mwanamke alipata 'Kura' Laki Moja.
[emoji23][emoji23][emoji23]*****Utahoji vipi 'Mafanikio' ya Mbunge tena Mwanamke aliyepata Kura zaidi ya Laki Moja halafu Wewe Dume Zima na 'Midevu' yako 'umeambulia' 1 tu?
Mkuu kula 5....jiwe ulilotupa si mchz na Imani hko alipo anauguliaaaaa... YalahhhhUtahoji vipi 'Mafanikio' ya Mbunge tena Mwanamke aliyepata Kura zaidi ya Laki Moja halafu Wewe Dume Zima na 'Midevu' yako 'umeambulia' 1 tu?
Hvi Unajua Kuna watu wanapenda kushobokea watuNa ndiyo maana nikamshangaa kweli kweli 'Kiherehere' Mmoja na 'Njaa Njaa' zake za kutaka akumbukwe katika 'coming Docket' ya JPM akihoji hili.