Uchawi wa kisasa na mifumo ya kiroho kama vile Wicca huwasaidia watu wengi kupata nguvu ya ndani na kujitambua kisaikolojia.Nipe faida za witchcraft
Imani ndio msingi.. Yeye hachelewi wala hawahi bali hujibu kwa wakati sahihi.. Pale unapoona umeshindwa na huwezi kusonga mbele tena.. Ndio hujitokeza na kukushika mkono.Tunamtegemea na kumwamini (waaminio) lakini Kuna muda na yeye anatunyamazia sana, Tunashindwa/kuchoka kutafsiri kimya chake..
Atujua tu dhaifu na kwa msaada wake tuna yaweza yote. Lakin japo kua Mungu ana keti katikati yetu Kuna muda tuna hofu. N sawa kabisa kibinadamuπ
Sisi sio wachinaTusipomuamini na kumtegemea kama Wachina itakuaje ??
Infropreneur
Kuna muda pia Imani inateteleka sawasawa au kama wakati Yesu alipokuwa getsemane, Si Hadi na yeye katika karibu lake akaomba kikombe kimuepuke...! Si unaona Hadi mzee mwenyewe akamtumia malaika kumtia nguvu... Sasa sisi je..Imani ndio msingi.. Yeye hachelewi wala hawahi bali hujibu kwa wakati sahihi.. Pale unapoona umeshindwa na huwezi kusonga mbele tena.. Ndio hujitokeza na kukushika mkono.
1 Wakorintho 10:13.Kuna muda pia Imani inateteleka sawasawa au kama wakati Yesu alipokuwa getsemane, Si Hadi na yeye katika karibu lake akaomba kikombe kimuepuke...! Si unaona Hadi mzee mwenyewe akamtumia malaika kumtia nguvu... Sasa sisi je..
Kuna muda pia Imani inateteleka sawasawa au kama wakati Yesu alipokuwa getsemane, Si Hadi na yeye katika karibu lake akaomba kikombe kimuepuke...! Si unaona Hadi mzee mwenyewe akamtumia malaika kumtia nguvu... Sasa sisi je..
Well, lakini anatufanyia matiplle choice sana Maombi yetu.. i.e Maombi ya haja zingine anatupa ila haja za kiuchumi ananyamaza sanaππ I know yo be know, that's why tuna short cut kwa route nyingine.. nevertheless bado jpili tupo nyumbani kwake pia ili Tusishindwe kusitiriwa na taratibu za kanisa.
Imani ni kitu complex sana.. Lakini ukiyaishi haya maisha kiroho kuna vingi utafunuliwaWell, lakini anatufanyia matiplle choice sana Maombi yetu.. i.e Maombi ya haja zingine anatupa ila haja za kiuchumi ananyamaza sanaππ I know yo be know, that's why tuna short cut kwa route nyingine.. nevertheless bado jpili tupo nyumbani kwake pia ili Tusishindwe kusitiriwa na taratibu za kanisa.
Sure... Ndio maana hata wakati Paul pamoja na kuonekana ni wakiroho zaidi lakini Kuna muda pia alihofu na yeye asije akakataliwa.. na mwisho tena akajakusema nakaza mwendo ... May the almighty energize us..Imani ni kitu complex sana.. Lakini ukiyaishi haya maisha kiroho kuna vingi utafunuliwaView attachment 3659175
Changamoto za imani ni vizuizi, majaribu, au mashaka yanayomkabili mtu katika safari yake ya kiroho au kiitikadi, ambayo huijaribu nguvu na uimara wa kile anachokiamini.Sure... Ndio maana hata wakati Paul pamoja na kuonekana ni wakiroho zaidi lakini Kuna muda pia alihofu na yeye asije akakataliwa.. na mwisho tena akajakusema nakaza mwendo ... May the almighty energize us..
Hiyo paragraphy ya mwisho imetumeza wengi sana, halafu sasa ndio tunaanza kudoubt kweli katika uwezo wake, hapo ndio tunajihoji unaikiri vipi zab 23 halafu huna kitu. Hasira inawaka zaidi, Hasira ikikomaa ni lango tayari, yule bwana anashangilia kiulaini. Haya mambo yeye mwenyewe asipojifunua kwako kwa neema zake, magumu sana mtu akuongoze.Changamoto za imani ni vizuizi, majaribu, au mashaka yanayomkabili mtu katika safari yake ya kiroho au kiitikadi, ambayo huijaribu nguvu na uimara wa kile anachokiamini.
Katika maisha ya kila siku, changamoto hizi hutofautiana kulingana na mazingira, jamii, na ukuaji wa kiroho wa mtu binafsi.
Mashaka ya Ndani.
Kupitia vipindi vya kujiuliza maswali magumu kuhusu uwepo wa Mungu au usahihi wa mafundisho ya dini pale mtu anapokumbana na majanga au maumivu.
Mateso na Majaribu ya Maisha. Changamoto za kiuchumi, magonjwa ya muda mrefu, na kupoteza wapendwa huwafanya baadhi ya waamini kurudi nyuma wakihisi wameachwa.
Imani Haba na Ulaghai
Ukuaji wa walimu au manabii wa uongo wanaotumia shida za watu kuhubiri miujiza ya haraka, jambo linalopotosha msingi wa imani ya kweli ..!
Kweli kabisa. Imani ya kweli haimaanishi kutokuwa na hofu, bali ni kuendelea kumtegemea Mungu hata katikati ya hofu na changamoto. ππΎMaisha ni safari ndefu na changamoto nyingi..!Hofu nyingi na kukata tamaa kwingi..!
Na ni jambo la kawaida kibinadamu kukumbana na nyakati ambapo imani ya maneno haitoshelezi kukabiliana na hofu za maisha.
Mara nyingi tunashindwa kumtegemea Mungu kwa sababu tunamfahamu kupitia simulizii na mahubiri tu badala ya kuwa na uhusiano wa karibu wa kibinafsi naye.
Pia, tabia yetu ya kutaka matokeo ya haraka na kutegemea akili zetu wenyewe inapotawala, tunajikuta tukizidiwa na mazingira magumu na kuanza kusahau ahadi zake.
Hata hivyo mpendwa Ili kuvuka kutoka kwenye imani ya nadharia na kuingia kwenye utegemevu halisi, ni muhimu kusoma na kutafakari Neno lake ili kujenga uhakika wa moyo, kukua kiimani na kujengeka kiroho.
Tunapaswa pia kubadilisha mfumo wetu wa sala kwa kukabidhi changamoto zetu kwake na kumtegemea yeye tuu!
kukumbuka matendo yake ya nyuma ya uaminifu, na kuchukua hatua za utii huku tukiacha matokeo mikononi mwake.
Jaribu kukumbuka alikuvusha kwenye mangapi hata uone hili hawezi kukuvusha!?
Nichukue nafasi hii toka moyoni kukuombea na kukutia moyo.. Ni kazima ukumbuke ya kwamba. hili nalo litapita.. Usiku hata uwe mrefu vipi KUTAPAMBAZUKA
Na Muumba wetu hawezi kukupa jaribu lisilo na suluhu
Jipe moyo utayashinda..ββ Yana mwisho vumilia...πͺπΏ