Tunashindwaje kumwamini na kumtegemea Mungu wakati sisi ni waamini?

Tunashindwaje kumwamini na kumtegemea Mungu wakati sisi ni waamini?

Kuna watu wanasali kila siku ila matendo yao ni bora ya shetani.

Sio kila anaeomba na kusali ni mchamungu
Mpe heshima sana anaetoa sadaka ya dhati kwa wanaohitaji moja kwa moja

Sadaka haina unafiki, ila sala nyingi ni za kinafiki
Mpe heshima sana anaetoa sadaka ya dhati kwa wanaohitaji moja kwa moja✍🏿💪🏿
 
Hiyo paragraphy ya mwisho imetumeza wengi sana, halafu sasa ndio tunaanza kudoubt kweli katika uwezo wake, hapo ndio tunajihoji unaikiri vipi zab 23 halafu huna kitu. Hasira inawaka zaidi, Hasira ikikomaa ni lango tayari, yule bwana anashangilia kiulaini. Haya mambo yeye mwenyewe asipojifunua kwako kwa neema zake, magumu sana mtu akuongoze.
Imani Haba na Ulaghai
Ukuaji wa walimu au manabii wa uongo wanaotumia shida za watu kuhubiri miujiza ya haraka, jambo linalopotosha msingi wa imani ya kweli ..!
 
Tunamtegemea na kumwamini (waaminio) lakini Kuna muda na yeye anatunyamazia sana, Tunashindwa/kuchoka kutafsiri kimya chake..
Hatunyamazii bali ni kutokana na mashaka yetu dhidi yake ambapo mashaka haya huinua nguvu hasi inayotutenga na umeme wake
 
Back
Top Bottom