Hiyo paragraphy ya mwisho imetumeza wengi sana, halafu sasa ndio tunaanza kudoubt kweli katika uwezo wake, hapo ndio tunajihoji unaikiri vipi zab 23 halafu huna kitu. Hasira inawaka zaidi, Hasira ikikomaa ni lango tayari, yule bwana anashangilia kiulaini. Haya mambo yeye mwenyewe asipojifunua kwako kwa neema zake, magumu sana mtu akuongoze.