Tetesi: Tunashukuru kwa Serikali kumalizana kabisa na Mkulima wa ndege

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji112]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mkulima wa ndege ametisha, wenzake wanalima matikiti yeye analima ndege. Ukijipendekeza tu kuigusa ndege yake au kupiga selfie anakudai fidia siyo ya dunia hii.
 
Kama gharama au bei ya kilo ya nyama ya mbuzi kule ni sawa na nusu nauli ya mtu why tusizitumie vyema ndege hizi?? Mwanzoni mtashangaa lakini zikianza kurudi na watalii ndo mtaelewa nia nzuri ya serekali
ndiyo maana nimesisitiza ndege zipeleke nyama ya mbuzi Dubai.
 
Nchi hii itasonga mbele kwa gharama yoyote. Wanaoitakia mabaya ili ikwame watakwama wao. Wengine wamekwamia Ubeleji kwa aibu!

acha kuwa na kichwa cha panzi...hakuna anaeitakia mabaya hii n-nji

tupo zaidi ya million 50, sasa mtu mmoja hawezijiaminisha ana akili kuliko ivyo vichwa 50million, akiligundua hilo mambo yatakua sasa
 
acha kuwa na kichwa cha panzi...hakuna anaeitakia mabaya hii n-nji

tupo zaidi ya million 50, sasa mtu mmoja hawezijiaminisha ana akili kuliko ivyo vichwa 50million, akiligundua hilo mambo yatakua sasa
Chadema kinadai kina wanachama milioni sita na wafuasi milioni saba, lakini wote hao wasema tena kwa kujiamini kuwa chama chao hakiwezi kusimama bila akili ya "mtu mmoja". Hiyo unaisemaje Mkuu??
 
Potelea mbali isikaguliwe ili mradi tumekata mzizi wa fitna, kaburu alikuwa anatudhalilisha na kuliharibia jina shirika letu la ndege. Hongera Serikali sikivu, dawa ya deni ni kulipa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
Wewe rudi tu kwenu Burundi, wahutu mnatuharibia nchi yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na kutembea na mabegi ya dola, bado hawajafikia 1.5T... hizo 1.5T hatujui ziliko
 
Hata kama ni kweli tumelipa, Immmma, Tundu Lisu& Co. hawakujui na wala hawatakupa hata shilingi, wenzako hela ya uwakili wameingiziwa kwenye akaunti na Muzungu wewe takataka unabakia kupiga mihayo ya ushabiki hapa JF.

Low IQ individual!
Dawa ya deni ni kulipa... kama akina Lisu walifanya kazi ya uwakili na wakalipwa chao sioni tatizo....
 
Kondoo mwenyewe, umejuaje aligoma kulipa, na kwa sababu gani hakulipwa, na kwann walopita hawakumalizia. Wewe ni hater tu hunaga jema lolote lile.
Haya weka kithibitisho amelipwa. As if utapata hata sumni angelipwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa hujikuta wanajua kila kitu kumbe in reality ni zero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia hii yaani mtu mmoja kalitingisha taifa zima la Tanzania.

Huyo ilibidi aje apewe kipande cha ardhi aje awekeze mpaka pale atakapokamilosha dai lake tungemwita kiurafiki na kurudi kuendelea na uwekezaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni makondoo tena makondoo wajinga, hilo halina mjadala. Jiwe aligoma kulipa maana huamini kila mtu ni kondoo hivyo anaweza kumkomoa. Hao wengine hawakumaliza lakini walijitahidi kulipa. Kithibitisho kuwa kalipwa na hiyo ndege yenu kuachiwa.
 
Zimeshakamatwa na kuachiwa Mara ya ngapi hadi sasa na hamna kithibitisho mara zote hizo, makondoo mshafeli sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…