Tunasimama na Lissu, alipo tupo

Kusubiri kuamshwa..!!

Kwamba changamoto zetu hatuzijui mpaka aje mwingine atuamshe?!

Hao wanaogoma wameanza kuonesha kwa vitendo changamoto zao wanazijua, hawasubiri kuamshwa, hivyo wanapingana na hii kauli yako hapa.
 
Hao wanaopigana wana viongozi wao. Hao ndiyo wanaohamasha, fanikisha, ratibu, nk hiyo migomo.

Hakuna mgomo unaokuja bIla viongozi kama mvua.

Hao ndiyo tunaowasuburi. Kama hawafanyi wanachopaswa tutawatoa uongozini Ili tuifanye Kazi hiyo.

Zingatia viongozi hawatoki mbinguni. Wanafanya wajibu wao au tunawapiga chini na kuchukua hatamu za serikali!
 
Hoja ya msingi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…