GE2025 Tunasubiri kuona leo mzima swichi atakuja na surprise gani, mtoto hatumwi dukani!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Blessed Tajiri

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2023
Posts
284
Reaction score
870
Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake.

Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za kununua bando zitakuwa dauni😂😂

Kama huna ka VPN hata kamoja fanya uwe nazo mbili tatu, zitakusave usikose mambo, wakishazima swichi utakuwa hata kuzifikia huwezi, wahi sasa ujipigilie wakati unasubiri moto iwashwe🌚

Usiseme baadae kuwa hukuambiwa!
 
Hivi Kwa nini Mitandao ya Simu Haitufidii?

Mimi nimeunga Bando Langu Nitembelee Jamii Africa Na Facebook tuu pia nichat Whatsapp.. halafu huduma hizo zinafungiwa bando langu linakuwa limeenda bureeee..
 
Mkata swichi kama alikuwa anafanya mazoezi leo anapiga kweli, ufundi wote atauweka mezani kuhakikisha bwana mbiombio hafanyi jambo lake.

Naona ndugu zao TANESCO watakuwa wanasubiri simu nao wafanye yao😂😂. Maji nayo yangekuwa yanachangia kwenye kujazia bando yangekata, na utakuta system zote za kununua bando zitakuwa dauni😂😂

Kama huna ka VPN hata kamoja fanya uwe nazo mbili tatu, zitakusave usikose mambo, wakishazima swichi utakuwa hata kuzifikia huwezi, wahi sasa ujipigilie wakati unasubiri moto iwashwe🌚

Usiseme baadae kuwa hukuambiwa!
Dogo anataka kujiua leo
 
Hata wakikata bado haitasaidia watakaokuwa nje ya nchi watadownload na watu wataipata
 
Back
Top Bottom