Tunasubiria Kuona Utekelezaji wa "No reform, No Election" ya Tundu Lissu

Wewe kuna mahali unashida sema hujui tu. Yaani ulimpa kura mtu ambaye unamwita kibaraka. Kweli ccm ina wajinga wengi sana
 
Punguza kamdomo, kamdom, kamdomo mkuu
 
Naam
 
Hawezi kushinda Lissu , wapiga kura hawapo mitandaoni
 
Bunge linavunjwa mwezi wa saba, hakuna muda wa kubadili katiba katika kipengele cha uchaguzi.

Sasa tuone kama watagoma kushiriki, ni haki yao, ila wasiingilie haki ya wengine kupiga kura
Unaugulia maumivu ukiwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…