Nyuma ya Kii BodiHakuna mahali vitu Kama hivi vilipatikana bila kumwaga damu/Jihadi. Kuna mifano mingi. Lazima watu wafe ndio watawala itawaingia akilimi. Uko sahihi kabisa hakuna Katiba Mpya wa tume huru kwa CCM.
Kama wewe ulivyo nyuma na fake IDNyuma ya Kii Bodi
Ndio ujue Watanzania wanapenda amaniKama wewe ulivyo nyuma na fake ID
Sasa hapa hata Umeme hakuna, kila kitu in shambles! Halafu eti Kuna serikali. Mwigulu na PhD fake eti Ni Waziri wa uchumi. Hata Zuchu, Wema, wanaweza kuwa Waziri wa Fedha Kama ndiyo hii RubbishNyuma ya Kii Bodi
Hakuna Amani, Ni kusubiri right time, watanzania waoga, walilogwa na Nyerere, then Sasa inabidi kupigwa Tanganyika jeki kuamkaNdio ujue Watanzania wanapenda amani
Vinginevyo hata wewe usingejificha
Tahrir ya humu mitandaoni sawaKelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.
Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yadiyoziba.
Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?
"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!" -- Ben Mkapa.
Tukutane Tahrir.
"Aminini nawaambia, yote tuyatakayo yatatimizwa (to the ruler) watakaposikia safari yetu kuelekea Tahrir imewiva!"
Wànasema Sana, làbda kwako, lkn huku Kanyigo people are lamentingMada za tozo zipo humu tuu JF...
Mtaani watu wanaendelea na maisha yao na hamna anae Jali.
Hakuna mahali vitu Kama hivi vilipatikana bila kumwaga damu/Jihadi. Kuna mifano mingi. Lazima watu wafe ndio watawala itawaingia akilimi. Uko sahihi kabisa hakuna Katiba Mpya wa tume huru kwa CCM.
Subirini kidogo. Historia inaonyesha pana madaktari waliwahi kutolewa Segerea kwa shinikizo la ghafla na dharura kweli kweli tokea Tahrir.Tahrir ya humu mitandaoni sawa
Endelea kusubiria porojo za historiaSubirini kidogo. Historia inaonyesha pana madaktari waliwahi kutolewa Segerea kwa shinikizo la ghafla na dharura kweli kweli tokea Tahrir.
Historia ina mengi ya kutufunza dhidi ya walamba asali na chawa uchwara wao nyie. Hii ikiwa ni hapa hapa nchini kumbe wala si mbali.
Mada za tozo zipo humu tuu JF...
Mtaani watu wanaendelea na maisha yao na hamna anae Jali.
Siku hii nchi ikiamka patapendeza sana.
Tahrir Square ya wapi? Mwigulu Nchemba anawachabo tuKelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.
Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba.
Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?
"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!" -- Ben Mkapa.
Tukutane Tahrir.
"Aminini nawaambia, yote tuyatakayo yatatimizwa (to a ruler) punde tu watakaposikia safari yetu kuelekea Tahrir imewiva!"