Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

Tunataka haki? Hatutaki tozo? Tukutane Tahrir

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.

Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba.

Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?

"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!" -- Ben Mkapa.

Tukutane Tahrir.

"Aminini nawaambia, yote tuyatakayo yatatimizwa (to a letter) punde tu watakaposikia safari yetu kuelekea Tahrir imewiva!"
 
Ndio ujue Watanzania wanapenda amani

Vinginevyo hata wewe usingejificha
Hakuna Amani, Ni kusubiri right time, watanzania waoga, walilogwa na Nyerere, then Sasa inabidi kupigwa Tanganyika jeki kuamka
 
Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.

Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yadiyoziba.

Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?

"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!" -- Ben Mkapa.

Tukutane Tahrir.

"Aminini nawaambia, yote tuyatakayo yatatimizwa (to the ruler) watakaposikia safari yetu kuelekea Tahrir imewiva!"
Tahrir ya humu mitandaoni sawa
 
Hakuna mahali vitu Kama hivi vilipatikana bila kumwaga damu/Jihadi. Kuna mifano mingi. Lazima watu wafe ndio watawala itawaingia akilimi. Uko sahihi kabisa hakuna Katiba Mpya wa tume huru kwa CCM.

Kumwagika damu si lazima. Ila kuwa kuna gharama ya kulipa, inatosha sana:

Kudai haki hakuwezi kuwa bila gharama

Hata kama malipo yatakuwa ni damu, (by the way) watakaochagua kutufikisha huko ni walamba asali siyo sisi. Kwa hakika kitaumana.
 
Tahrir ya humu mitandaoni sawa
Subirini kidogo. Historia inaonyesha pana madaktari waliwahi kutolewa Segerea kwa shinikizo la ghafla na dharura kweli kweli tokea Tahrir.

Historia ina mengi ya kutufunza dhidi ya walamba asali na chawa uchwara wao nyie. Hii ikiwa ni hapa hapa nchini kumbe wala si mbali.
 
Endelea kusubiria porojo za historia
 
Tahr
Kelele zimepigwa sana. Kwa hakika zimesikika. Katokea Msigwa eti kutaka utulivu huku tozo zikiendelea.

Kelele za kudai haki nazo zimeendelea kusikika huku zikiangukia kwenye masikio yaliyoziba.

Ni nani aliye mgeni wa vilio hivi? Ni Samia, Majaliwa, Juma au Tulia? Tuende wapi kumbe?

"Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe!" -- Ben Mkapa.

Tukutane Tahrir.

"Aminini nawaambia, yote tuyatakayo yatatimizwa (to a ruler) punde tu watakaposikia safari yetu kuelekea Tahrir imewiva!"
Tahrir Square ya wapi? Mwigulu Nchemba anawachabo tu
 
Back
Top Bottom