Mzee wa kazi ngumu
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 849
- 2,550
Kwani makonda kapataje ubunge Arusha?.Kapataje ubunge Chamwino!wagogo siyo wajinga bwana.
Si ndo useme???Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Angekuwa mtoto wa Ndejembi kweli, angekuwa ndo msemaji wa familia sio Edna. Au ni mtoto wa kufikia coz Ndejembi naye alikuwa moto.. Anachukua mama na mtoto. Wanawwke kibao wamebadilisha majina ya watoto wao na kuwapa ubini wa familia za MatajiriHalafu Jamaa ni swala 5
Na wewe kwanini tukuamini?Ni jina lake halisi, namfahamu tangu akiwa primary school. Acheni uongo. Amezaliwa na kukulia Dodoma.
Hii iwekee muendelezo MkuuAngekuwa mtoto wa Ndejembi kweli, angekuwa ndo msemaji wa familia sio Edna. Au ni mtoto wa kufikia coz Ndejembi naye alikuwa moto.. Anachukua mama na mtoto. Wanawwke kibao wamebadilisha majina ya watoto wao na kuwapa ubini wa familia za Matajiri
Huyu ni mpemba wa Wete kabsaaa!Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
Kuna siri gani kwenye chogo mbona lecture wangu alikuwa na chogoMnaomjua vipi kichwa chake hakina chogo?
Fungal nani lakoKwani wewe ndo mzazi wake acheni propaganda za uongo.
Hiyo nafasi ni ya kula bata sio kwenda kuonesha ufanisi. Kina Gharib Bilal na SheIn waliweza. Hutakiwi hata kujituma mpaka bosi akutume .Mimi sio tatizo.
Tatizo lije kwenye ufanisi, weledi na uadilifu.
Awe mpemba au mchaga.
Awe Mkristo au muislam au asiye na dini.
Kwangu sioni tatizo.
Ni mgogo mtoto wa nje wa kabudi😆Ni mrangi au mgogo
Hao jamaa walikubalika sanaHiyo nafasi ni ya kula bata sio kwenda kuonesha ufanisi. Kina Gharib Bilal na SheIn waliweza. Hutakiwi hata kujituma mpaka bosi akutume .
unaongea sana ila unaongea ujinga tu we eleza wasifu wake kasoma wap? na ww sio hizi porojo zakoHayo ni mawazo ya kijinga, mnabisha msichokijua, hayo mambo ya conspiracy theory hayana maana, acheni kusingizia na kuongea vitu msivyovijua. Mawazo mabovu, kama mama yake ni mrangi? Mnadharau wagogo, kwani lazima wagogo wote wafanane? Acheni mambo ya kudharau watu wengine, ongeeni pointi za maana.
Mkuu;Hiyo nafasi ni ya kula bata sio kwenda kuonesha ufanisi. Kina Gharib Bilal na SheIn waliweza. Hutakiwi hata kujituma mpaka bosi akutume .
Wewe umefika Bagamoyo au Tabora, kuna watu wengi sana wanafanana na Rostam, au hao unaowaita mabaki ya wapemba, wengi tu. Tembeeni muone, hata huko Mtwara (Ukisimama Nchale, ukikaa Nchale, ukitembea Nchale) wapo watu wengi kama wapemba......Lakini si wapemba. Acheni ubaguzi ninyi, kwa hiyo ukiwa MGOGO lazima ufanane na Matonya. Ebu fikirieni nje ya boksi.Heri angalau angefanana na huyo mamake aliyempenyeza mabaki ya watumwa huko visiwani ambaye asili yake ni ntwara kuliko mpembaa. Wallahi mie ntu afananaye na mpembaa kujiita ntanganyika nshangaa sana yakhe.
Labda ni MRANGI wa mchongoeti huyu mgogo aisee
Umepasahau KILOSA kuna copy za Makobazi zimeachwa pale. Ukienda sokoni unakuta Mwarabu anauza bucha wengine genge wengine mitumbaWewe umefika Bagamoyo au Tabora, kuna watu wengi sana wanafanana na Rostam, au hao unaowaita mabaki ya wapemba, wengi tu. Tembeeni muone, hata huko Mtwara (Ukisimama Nchale, ukikaa Nchale, ukitembea Nchale) wapo watu wengi kama wapemba......Lakini si wapemba. Acheni ubaguzi ninyi, kwa hiyo ukiwa MGOGO lazima ufanane na Matonya. Ebu fikirieni nje ya boksi.