Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
All in all, ukimtazama ana sura ya KIPEMBA hope kwenye family clan Kuna vinasaba hivyoNi wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.
Na ana kichogoDuru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
Ana sura ya KIPEMBAHeri angalau angefanana na huyo mamake aliyempenyeza mabaki ya watumwa huko visiwani ambaye asili yake ni ntwara kuliko mpembaa. Wallahi mie ntu afananaye na mpembaa kujiita ntanganyika nshangaa sana yakhe.
Duru zinasema hili sio jina lake halisi ni jina la kununua ili apate kusoma
Akiwa Dodoma anaitwa John, akirudi Pemba anaitwa Ali hamis Makame
kwann afiche majina yake?
Ikumbukwe hayati Rais Magufuli aliombwa na makamu wake wakati huo kumfikiria ktk uteuzi na kweli akateuliwa kuwa mkuu wa wilaya
usalama wa Taifa mpo?
Kwani wachagga wanatoka Arusha?Hiyo sio hoja,,,Makonda ni mbunge Arusha kwani yeye ni mchaga?
Ipo kwenye KatibaIpo kwenye Katiba au ni desturi tuu?
😅😅😅Kuna siri gani kwenye chogo mbona lecture wangu alikuwa na chogo
Unawajua wagogo au unawasikia tu ?Kapataje ubunge Chamwino!wagogo siyo wajinga bwana.
Kuna mtu alisema huyu dingi aliongezewa ulinzi 😄
Tuambie hiyo shule ipo wapi Dodoma au Kongwa? Mbona kama ni ya uingereza.Mgogo gani anafanana na wapemba zaidi ya wagogo wenzake au mrangi?
Kiongozi umesema unafahamu wazazi wake, halafu unatuuliza kama mama yake ni mrangi sisi ambae hatujui...Hayo ni mawazo ya kijinga, mnabisha msichokijua, hayo mambo ya conspiracy theory hayana maana, acheni kusingizia na kuongea vitu msivyovijua. Mawazo mabovu, kama mama yake ni mrangi? Mnadharau wagogo, kwani lazima wagogo wote wafanane? Acheni mambo ya kudharau watu wengine, ongeeni pointi za maana.
Acha UKABURU WEWEMgogo gani anafanana na wapemba zaidi ya wagogo wenzake au mrangi?
Kama bata.Sasa mwandiko tuu kwenye simu uko hivi akiandika kwenye daftari 😴
Alikuwa mtoto wa kufikiaMwenyekiti dingi huenda alichomekewa maana nzigo mzima unaonekena ni wa kule majini kwa muonekano hata usipo ambiwa
Acha UKABURU WE
Siyo sura ya kipemba bali mpemba haswa.Ana sura ya KIPEMBA
Iliyokukojolea nyuma Kwako.Chai
Ila kweli kasilimu?Ni wewe tu unayefanana na Mmatumbi. Watanganyika mpo very judgemental mno, kama mama yake ni mrangi? Acheni hizo, angalia historia ya mtu, muwe mnasikiliza wakubwa zenu waliozaliwa miaka ya 1970 na mwisho wa 1968, sijui mtaelezwaje muelewe ninyi wamatumbi. Hata akili kidogo hamna, inanifanya niamini kuwa watanzania ni waongo sana, hata kuna vitu sasa naamini mnasingizia watu, Huyo Mange nilikuwa namuona ana akili, lakini naona ni bumunda, eti anasema Ndejembi ana miaka 39? Mimi najua miaka yake, tumekulia sehemu moja, nawafahamu wazazi wake na ndugu zake. Acheni uongo watanganyika.