Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

ndandambuli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2017
Posts
973
Reaction score
665
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,

Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni

Mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua

Nipeni mbinu nifanyeje?
 
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni, mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua,nipeni mbinu nifanyeje?
Hujashtukia jambo hapo wanawake wanakuwaga na vinyongo anataka kuona sms na manung'uniko Yako ili awaambie wengine shtuka ww au sio
 
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni, mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua,nipeni mbinu nifanyeje?

Kuna sababu Kwa Nini mliachana, unless umeisema, ila achana naye
 
Unampenda huyo so rudi tu muyamalize ila uhakika haitakuwa kama awali maana keshatombwa na wengine baada yako.
Nawajua wengine watatu kabla yangu,kwa makadirio naweza kuwa wa sita au kumi kwenye orodha yake.
 
Back
Top Bottom