ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
- Thread starter
- #101
Kwanini?Huyu jamaa achomwe na petroli mbichi
Kwanini?Huyu jamaa achomwe na petroli mbichi
🤣🤣🤣 Hata kama ulipoanza naye alikuwa amedinywa na Wanaume kadhaa?Yan ushadinywaa huko wee nani akurudie mm ningekuwa huyo jamaa nisimrudia demu aliyeenda kudinywa huko hadi kachoka
Mwanaume unaogopa kumwamrisha mwanamke mjinga umpendaye kurudi nyumbani, how!Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni
Mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua
Nipeni mbinu nifanyeje?
Alikuwa anapenyesha maneno gani?Ndio maana wanasikilizia sana watu wanasemaje.
Baada ya mimi kumalizana na ishu za mahakamani, nikajitoa completelly kwenye old circle. Nikahama mkoa, nikabadili namba ya simu, sikitaka kusikia chochote toka kwa yeyote kumuhusu yeye.
I was right, maana alipogundua sina touch na old life wala hakuna watu ambao wana contact na mimi from my past life, akaanza kupitisha maneno kwa wake wenzie (mashemeji zangu/wake wa ma bro) mwanzoni zikawa zinafika, kisha nikawapiga pini na wao, wakampotezea.
Hali ilipokua shwari nikampa namba ya simu kwaajili ya watoto, na my life is now coolly lived
🙏🙏🙏🙏🙏Mwanaume unaogopa kumwamrisha mwanamke mjinga umpendaye kurudi nyumbani, how!
Piga simu moja tu yenye mamlaka, ili arudi upesi na atarudi.
Hayo ya kuhofia ujinga wake wa baadaye usiyawaze, atakapokuletea za kuleta fukuza tena.
Mabaya mnooo. Kuwa huwa nawasema vibaya ndugu zangu kwamba hwana maisha kama mimi, na vitu kama hivyo. Maneno mabaya sanaaaaaaaAlikuwa anapenyesha maneno gani?
Mabaya mnooo. Kuwa huwa nawasema vibaya ndugu zangu kwamba hwana maisha kama mimi, na vitu kama hivyo. Maneno mabaya sanaaaaaaa