Ndio maana wanasikilizia sana watu wanasemaje.
Baada ya mimi kumalizana na ishu za mahakamani, nikajitoa completelly kwenye old circle. Nikahama mkoa, nikabadili namba ya simu, sikitaka kusikia chochote toka kwa yeyote kumuhusu yeye.
I was right, maana alipogundua sina touch na old life wala hakuna watu ambao wana contact na mimi from my past life, akaanza kupitisha maneno kwa wake wenzie (mashemeji zangu/wake wa ma bro) mwanzoni zikawa zinafika, kisha nikawapiga pini na wao, wakampotezea.
Hali ilipokua shwari nikampa namba ya simu kwaajili ya watoto, na my life is now coolly lived