Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Tunataka kurudiana ila tunategemeana, nipeni mbinu

Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni, mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua,nipeni mbinu nifanyeje?
Chungeseee mnininaaaa
 
jaribu kukumbuka sababu ya kuachana ina uzito kuliko ya kurudiana
moving on mwanzon pale ni jambo gumu sanaaa. Nami lilinisumbua ila kila nilipokua na feel the urge kurudisha moyo nyuma for reconsiliation, nikawa na visualize uzito wa makosa alionifanyia, intention za kuyaharibu maisha yangu alizozilenga, aaaahhh moyo wa nyama unapotea ghafla. Hii ilinisaidia mpaka sasa sioni tena sababu ya kushikilia makosa yake, i just dont want her anymore BY DEFAULT NOW
 
Kwani hautambuliki mpaka ndoa ?
Ndiyo mkuu, Ndiyo maana kuna baadhi ya wanawake wanapewa mimba na kukataliwa na wanaume na hawana cha kufanya kwasababu hata wakienda kwenye sheria kushtaki, watakosa uthibitisho
 
Ukijishusha na kumtafuta mrudiane ndio utakuwa msingi mpya wa mahusiano yenu. Yaani wewe kwenye kila jambo utatakiwa ujishushe ili yeye akubali au akitaka jambo lake ni lazima liende anavyotaka kinyume chake mtakorofishana.

Ushauri wangu ni kuwa mwanamke anataka kuwa juu ya mamlaka yako na sio chini. Kama unataka kuwa mwanamke na yeye awe mwanaume kwenye uhusiano then mpigie simu saa hii mrudiane.

Kama unataka kuwa mwanaume na yeye awe mkeo then hilo halitawezekana kwa sasa sababu ameshakuonyesha msimamo wake juu yako.

Chagua wewe kusikia ama kusikiliza.
 
Ndiyo mkuu, Ndiyo maana kuna baadhi ya wanawake wanapewa mimba na kukataliwa na wanaume na hawana cha kufanya kwasababu hata wakienda kwenye sheria kushtaki, watakosa uthibitisho
Sawa mkuu lakini kwasasa wacha niwe kataa ndoa huku nikijipanga, ila si unajua nitaoa 2028 kama nitakuwepo au huna hiyo habari!
 
Vizuri, usisahau kunipa mualiko
JF yote nitawaalika kina poor brain , mallerina, mzee wa I mean no malice, mshangazi, ndege, na wengineo. Wanangu wote oyaa oyaa wee wanangu gang gang siwezi kuwasahau kama nimetoroka milembe!
🙂
 
JF yote nitawaalika kina poor brain , mallerina, mzee wa I mean no malice, mshangazi, ndege, na wengineo. Wanangu wote oyaa oyaa wee wanangu gang gang siwezi kuwasahau kama nimetoroka milembe!
🙂
Haya mkuu, siyo mbali 2028 umeshaanza kujipanga lakini?
 
Kaza fuvu Hadi umpate mwingine mpya atakaekufaa!!

Mkishaachana mkarudiana mtaachana tena,delete memories!!ikieezekana omba kwa mungu na toa sadaka,sio kila mahusiano Yana umilele mengine yalikuja kutukomaza tu au kurekebisha maisha ya mwingine ambaye yalikua yameharibika ,yakishatengemaa hatokuhitaji Tena na lazima ukubali yameharibika kabisa!!

Kurudiana ni kurudisha cycle Ile Ile yenye hatma Ile ile!!

Mimi akisha mess up nikamrudia kile alichokifanya kinajirudia akilini ni Bora ukaanzisha Tania mpya coz hakuna mwanamke anae saliti Kwa bahati mbaya!ni amekua ameshiba na haoni Tena Cha kutegemea kwako kipya,kwahio anatafuta mwenye vipya akishampata hata kama umerudiana nae atakusaliti kufuata upya aliokua anautaka!!!

MOVE ON AISEH JUST KAZA FUVU,KAMA SAMPLE HAIFAI TAFUTA NYINGINE SISI WANAUME HATUNA CHA KUPOTEZA UNAWEZA ISHI KAMA KIJANA HATA KAMA UNA MIAKA 80 NA KUENDELEA!!
 
Back
Top Bottom