ndandambuli
JF-Expert Member
- Jul 2, 2017
- 973
- 665
- Thread starter
- #81
Kwanini Mkuu hayana maana?
Kwanini Mkuu hayana maana?
CHA UBWABWA hawachekeshi?Chadema wanachekesha sana
Kanigomea Mkuu
rudiana nae uje upate matatizo zaidi ya mwanzo
Kanigomea MkuuKwanini umeamua kujitesa mkuu?
Mwambie nakupenda turudiane
Kumbuka ku check hiv
Hata kumfanya sex Toy moyo umegoma kabisa, alikuwa tayari niwe na Shea na mtu wake wa SasaWe mfanye Sex toy tu sio mtu tena huyo, huo ndo ushauri rasmi.
Yan ushadinywaa huko wee nani akurudie mm ningekuwa huyo jamaa nisimrudia demu aliyeenda kudinywa huko hadi kachokaBaada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni
Mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua
Nipeni mbinu nifanyeje?
Mngh!!Kabisa mheshimiwa, mapenzi yafutwe.....
Na hawa wanaopendana pendana wanyongwe.
Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni
Mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua
Nipeni mbinu nifanyeje?
Ukimwi huo...📌Hata kumfanya sex Toy moyo umegoma kabisa, alikuwa tayari niwe na Shea na mtu wake wa Sasa
Kufanya nn?Kanigomea Mkuu
Piga nae story, kuhusu mapenzi yenu ya nyuma hasa zile scene za furaha ata kwa saa 1Baada ya kuachana kwa hasira kila mmoja wetu akatafuta wa kumliwaza,bahati mbaya au nzuri kila mmoja wetu hajaridhika na mahusiano haya mapya,
Nasikia mwenzangu huko aliko anasema nikimwomba kurudiana Yuko tayari muda wowote,na mimi nataka turudiane ila hofu yangu nikianza mimi kumwomba turudiane atanisumbua sana siku za usoni
Mwezi wa pili Sasa tangu niambiwe anataka turudiane ila kimya,nahisi naye anaogopa ninacho kiogopa ukweli ni kwamba nampenda sana na staki kumkosa ila hofu yangu ni hiyo nikimuanza atanisumbua
Nipeni mbinu nifanyeje?
Kurudiana, kaniambia haiwezekaniKufanya nn?
Hata simu hapokeiPiga nae story, kuhusu mapenzi yenu ya nyuma hasa zile scene za furaha ata kwa saa 1