Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Bomba Live.JPG
 
Asante Sana Mkuu, Karibu Pia
Nataka simple website (database) ambayo nitaweza kuregister member wangu na kuwa na data base yake... kimsingi ukifanikiwa unaeza pata wadau kadhaa wengine wengi. Club fulani ambayo inakuwa na members, reg fee, subscription fee. Nilitaka ipatikane kwa platform pia ya android!!
 
Nataka simple website (database) ambayo nitaweza kuregister member wangu na kuwa na data base yake... kimsingi ukifanikiwa unaeza pata wadau kadhaa wengine wengi. Club fulani ambayo inakuwa na members, reg fee, subscription fee. Nilitaka ipatikane kwa platform pia ya android!!
Habari Mkuu, Hakuna tatizo inaweza kufanyika bila tatizo wasiliana nasi +255.711414246 kwa maelezo na maongezi zaidi.
 
Kwa Huduma za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Hebu Tuangalie Faida Zitokanazo na Kuwa na Wavuti ya Kampuni

1. Kuwafikia watu wengi zaidi.

Kama tulivyoona, kwenye watu kumi, mmoja anatumia internet, je hutaki kuwa wa kwanza kumshawishi huyo mtu mmoja atumia biashara yako? Kwa kuwa na wavuti utawafikia sio tu wale walio karibu yako, balo pia hata watu walio maili elfu na elfu.

2. Kuvutia wateja makini
Chukulia mfano wewe una duka la nguo, wateja wengi wangependa kupata taarifa juu ya mzigo mpya, mapunguzo nk bila hata kuja dukani kwako. Kwa kuwa na wavuti, ni dhahiri utavutia sana wateja makini ambao hupenda kupata taarifa za kina kabla ya kununua bidhaa. Wavuti inakupa wasaa wa kujieleza kwa undani juu ya huduma au bidhaa zako.

3. Kujenga uhusiano wa karibu na wateja.
Je umewahi kujiuliza, ni wateja wangapi ambao huwa marafiki zako baada ya kutumia / kununua bidhaa yako? Je unatumia njia zipi kudumisha uhusiano kati ya mteja na mtoa huduma? Wanazuoni husema, biashara itakayodumu ni ile tu iliyofanikiwa kujenga uhusiano mzuri na wateja wake. Kwa kuwa na wavuti, sio tu utaweza kupata maejesho juu ya ubora wa huduma yako, bali pia utaweza kudumisha mawasiliano kati yako na mteja, kumbuka mawasiliano ndio hudumisha uhusiano.

4. Kufanya biashara moja kwa moja.

Katika dokezo lango moja kwenye Facebook, niliwahi kuandika " Goodbye IT, welcome Digital Business", wengi hawkuelewa nini nilimaanisha hadi pale nilipokuja kufafanua, na kuna waliochanganya na hii huu mfumo wa digitali. Kwenye makala hii niliposema Digital Business nilimaanisha kutumia IT kama biashara ndio tunachokiita digital business.

Ukweli ni kuwa, Watanzania wengi wamekuwa wagumu na bado hawaamini kama kuna uwezekano wa kufanya biashara moja kwa moja online. Hii inawezekana ni kutokana na kasumba yetu ya kuogopa kuanza hadi pale tunapoona mtu amefanikiwa.

Ukweli ni kwamba, tunaweza kuuza na kununua moja kwa moja online, tena ukizingatia Tanzana ni nchi yenye watumiaji wengi wa simu za mkononi ambazo pia huwawezesha watu kulipia kwa kuhamisha pesa. Hivyo kwa kutumia huduma hizi, unaweza kufanya bishara moja kwa moja. Chukulia mfano wamiliki wa migahawa, maduka ya urembo nk. Wavuti inaweza kuwasaidia watu hawa kupanua na kuboresha wigo wa huduma zao.
 
Kazi Zinaendelea Wasiliana nasi sasa Kwa Huduma zetu. Contact Us | +255.711414246
 
Pia TunaHost Website na Kutoa Full Access Control Pane, Powered By cPanel Wasiliana nasi sasa kwa Huduma Zetu | +255.711414246

Full Access cPanel 2.JPG
 
SUNDAY OFFER.jpg


SUNDAY OFFER: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Kwa Huduma za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | +255.711414246
 
Kwa Mahitaji ya Vitual Private Server Wasiliana Nasi Sasa.

SERVERS.JPG
 
NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.

Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.711414246
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: 0734198431
 
Website Hosting Packages
Professional website hosting optimized for exceptionally fast site performance and page load times with Varnish cache

CONTACTS
Sales Department
CALL/ WhatsApp: +255.734198431




WEBSITE HOSTING PACKAGE PRICE.JPG
 
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.

NOTE: Gharama zinajumuisha

*Free .co.tz Domain for 1 Year
*Free Hosting for 6 Month
*Free SSL Certificate
*15 Business Email
*Full access cPanel
*Free Support etc.
 
Back
Top Bottom