political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Hizi gharama zenu ni pamoja na designing au tofauti?
Mimi ni potential customer
Mimi ni potential customer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gharama zinajumuisha pamoja na Designing Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0621454246 au 0711414246Hizi gharama zenu ni pamoja na designing au tofauti?
Mimi ni potential customer
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
Ndio mkuu inapatikana pia wasilina nasi kwa namba 0621454246 au 0711414246Kwenye hosting service kuna zile app za kutengeneza website kama vile wordpress ila mimi shida yangu ni os class
Kabla sijakupa mchanganuo wa umuhimu wa tovuti kwa ajili ya biashara yako nahitaji utambue kuwa asilimia zaidi ya 80% ya watu wenye uwezo ya kuingia kwenye mtandoa hufanya utafiti wa biashara mtandaoni
Unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0621454246 au 0711414246 tuweze kuzungumza zaidi unahitaji tukufanyie nini.Mim Nina blog naitaji kusetiwa sijui mnafanya kwa shingapi