Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Tunatengeneza na Kudesign logo, Business card, Websites Pamoja na Android Application

Kwanini unahitaji SSL Certificate kwa Website ya biashara yako

Ukiacha sababu za kuongeza daraja la website kwenye mitandao ya utafutaji, SSl Certificate ikakusaidia;

  • Kuongeza usalama wa taarifa kati ya mtumiaji na seva
  • Kuongeza uaminifu kwa wateja
  • Kuboresha biashara kwa kuvutia wateja zaidi
 
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pia tunatoa huduma yakusajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.

Kwenye hosting service kuna zile app za kutengeneza website kama vile wordpress ila mimi shida yangu ni os class
 
Boresha Biashara/ Kampuni yako kuonekana ya Kisasa Zaidi, Karibu tukutengenezee Website / Logo Kwa Gharama Nafuu Zaidi.
 
Sajiri Domain pamoja na Kuhost Website kwa Gharama ya Kuanzia TZS 4,000/= Kwa Mwezi Wasiliana nasi sasa.
 
Je unahitaji kuwa na tovuti kwa ajili ya biashara?

Hilo ni swali kila mtu mwenye biashara hujiuliza. Wengi tumekuwa hatujui umuhimu wa tovuti. Labda kwasababu majibu tuliokua nayo ni “gharama sana”, “inahitaji mda”, “teknolojia ngumu”, “nina biashara kubwa ya kutosha sihitaji moja”. Yote hayo yanaweza kukufanya usione umihumu wa kuwa na tovuti.



Sasa je bado unajiuliza haja ya biashara yako kuwa na tovuti?

Kabla sijakupa mchanganuo wa umuhimu wa tovuti kwa ajili ya biashara yako nahitaji utambue kuwa asilimia zaidi ya 80% ya watu wenye uwezo ya kuingia kwenye mtandoa hufanya utafiti wa biashara mtandaoni

1. Tovuti itafanya biashara yako iaminike zaidi​

Je unafahamu ni vitu gani huleta uaminifu kwenye biashara. Ukiachana na mahali au eneo la biashara. Tovuti yako itajenga uaminifu kwa kusema, mimi niko hapa, ninamaanisha biashara, na niko kwa muda mrefu.
Kwa kupanga kwa uangalifu, kwa busara na kwa kuangalia mahitaji ya wateja wako, wavuti yako itatoa picha ya kitaalam na kuwapa wateja uwezo mkubwa wanapotembelea, iwe iko kwenye kompyuta zao, tableti au simu.

2. Huhifadhi Muda.​

Muda ni pesa, kwa hiyo mara nyingi huunganishwa pamoja. Kuwasiliana na kutimiza haja wateja huchukua muda. Wavuti yako inaweza kuokoa muda huo kwa kutoa majibu ya maswali na maoni ya kawaida kwa wateja bila ya kurudia ujumbe huo huo kwa watu tofauti.
Unaweza kutumia wakati wako kufanya vitu vya thamani zaidi, kama kuendeleza biashara yako.

3. Hurahisisha upatikanaji wa Biashara yako.​

Kuwa na tovuti hufanya iwe rahisi sana kwa watu kukupata, kusoma juu ya biashara yako, unachofanya na kujibu rundo la maswali waliyo nayo kwa ajili ya biashara yako. Kwa kuwa na tovuti watu wataweza kupata biashara yako wanapoitafuta kwenye injini za utaftaji kama google, yahoo au bing. Wakati mwingine mtu asipofanikisha kupata biashara yako mtandaoni anaweza akahis biashara yako imefungwa.

4. Fursa za kimataifa​

Ukiwa na tovuti hufanya uwezekano kwa mtu yeyote ulimwenguni kupata biashara yako. Ikiwa unayo bidhaa/huduma ambayo inaweza kuuzwa kwa urahisi mtandaoni unaweza kuongeza kiwango kikubwa cha wateja wako kwa kuuza kwenye mtandao.

Au labda huwezi kuuza huduma/bidhaa zako mkondoni lakini kwa kuwa na wavuti unaweza kupata wateja ambao wako nje ya mahala pako kijiografia.
 
Nini faida ya Kumiliki Website au Blog Kwa Biashara Yako?


1. Kuwafikia watu wengi zaidi.
2. Kuvutia wateja makini
3. Kujenga uhusiano wa karibu na wateja.
4. Kufanya biashara moja kwa moja.
 
OFFA: Pata 50% OFF kwenye huduma zetu za Web hosting, Domain, Web Design & Development and Products & Business Software / System. Contact Us | 0711414246 / 0621454246

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini faida ya alama ya biashara (Business Logo)?
Alama(Logo) ni Alama ndogo ambazo hutumika katika masoko ya biashara...kwa kawaida ni moja ya alama za kwanza za utambulisho wa kampuni, alama hizi hua zinakua katika hatua za mwanzo wa uundaji wa kampuni. Mara nyingi hufuata jina la biashara na linapatana na maendeleo ya kitovu cha kampuni au kauli mbiu na uwakilishi mwingine wa kuona. Kuwa na alama yenye ufanisi inaweza kuifadisha kampuni yako.


UTHIBITI
Alama huipa kampuni yako nembo na mwonekano wa urahisi. Kwa kuweka picha hii kwenye vifaa vyote vya mawasiliano, dhamana ya uuzaji, tovuti yako na barua pepe, unawapa watu uthibiti sambamba na alama yako.
Watu wengi wanapoona alama yako, alama hiyo inakuwa sawa na jina lako na sehemu ya utambulisho wa bidhaa unazo ziuza. Hii inakuwezesha kuweka alama yako kwenye vifaa vya uendelezaji na hata bidhaa kama uwakilishi wa kusimama pekee wa biashara yako wakati jina lako halipaswi au halionekani vizuri

PICHA
Logo nzuri na zilizo tengenezwa kwa ubora zinaweza zikawa nguzo imara ya kujenga na kuimarisha picha ya biashara yako. Baadhi ya alama nyingine, kama vile "Nike", zinajulikana sana kuwa watu wanaona na kuelewa maana ya brand kutoka kwenye alama. Wakati wa kununua bidhaa. Kwa wateja wa cocacola wanapoiona nembo ya cocacola basi huwa wanapata hamu ya kunywa kinywaji chao pendwa.

Huu ndio muda wako muafaka wa kuweza kkujitangaza kwa kuwa na nembo au alama ya kampuni lako, hii itakusaidia uweze kujiimalisha dhidi ya wapinzani wako.



WASILIANA NASI:
0711 414 246 / 0621 454 246
 
Design your Business Website with us, starting at 200,000 Tsh. For inquires call or WhatsApp +255 711 414 246 / +255 621 454 246 .
 
Website hukufanya uwe na nafasi ya kueleza mambo uyafanyacho kwa watu wengi zaidi. Ni kweli unaweza kuwa na akaunti nyingi za mitandao ya kijamii . Lakini watu wengi hawatopata kukufahamu vizuri kama sio kupitia kwa website yako ambapo utakua na kurasa zilizopangiliwa vema kabisa. Wasiliana nasi sasa kwa Mahitaji ya Website na huduma zingine za kimtandao.
 
Jipatie mandhari sanifu yenye kupendezesha tovuti yako katika kompyuta, tablet pamoja na simu. Wasiliana nasi sasa leo kwa huduma zetu za wavuti / tovuti.
 
Tumetoa punguzo la bei hadi 50%, kutoka 400,000/= paka 200,000/=. Ili kila mfanyabiashara aweze kuafford na kumiliki biashara yake kisasa zaidi.
 
Back
Top Bottom