Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Nataka travota number 45 naweza pata mkuu
 
Nataka travota number 45 naweza pata mkuu
Hiyo naomba tuiweke kwenye List Kiongozi. Maana ilibakia moja na imechukuliwa leo. Itapatikana kuanzia J5 au Alhamis hivi..
 
OK nasubiri
 
Travota nyeusi nahitaji na mkanda mweusi.Bei gani?
 
Travota nyeusi nahitaji na mkanda mweusi.Bei gani?
Travota namba ipi Kiongozi.? Mikanda iliyopo siyo standard sana, tumeona tuboreshe zaidi ndiyo tuiweke sokoni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…