Mkuu pole sana. Ungenitext yawezekana nilikuwa field maana wakati mwingine nakuwa Field Vijijini. Unweza fika Dukani kwetu Dar.? Tushafungua Office Machinga Complex ground floor kizimba namba E 1 037 - E1 029nilikuja hadi Mbeya ili nione kazi zenu ili tufanye biashara za congo na uganda halotel yako haikupatikana niiaamua kuondondoka zangu.
Mbagala kubwa mkuuMbagala..
Tunashukuru kwa kutuunga mkono kwa kununua bidhaa zetu. Tunapenda kukukaribisha kwa mara nyingine tena. Leo mzigo mpya unafika Dar.Mkuu Fajes leo nimefika shop kwako machinga complex nashukuru kwa huduma zenu nami nimejipatia bidhaa bora toka kwako
Nitakaribia usijali.Tunashukuru kwa kutuunga mkono kwa kununua bidhaa zetu. Tunapenda kukukaribisha kwa mara nyingine tena. Leo mzigo mpya unafika Dar.
Bei za jumla bado ni zile zile??Mbagala ilikuwa kwa Agent wetu, kwa sasa tayari tumefungua office. Tupo Machinga Complex, Kizimba namba E1 037 -E1 029.
Naomba tuongee kwa whats upTunaweza kukutumia, unahitaji aina ipi, kwa idadi ipi na size zipi.?