Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu

Mkuu una mizigo mizuri ila fashion bado ni za zamani boss wangu hili mbona haulifanyii kazi kiongozi sisi ndo wateja wenyewe jaribu ku compare fashion za sasa zikoje mkuu na vipi mteja akilieta sample unaweza mfanyia kazi pia.
 
Mkuu, tunashukuru kwa ushauri wako. Tunakusanya nguvu ili kuboresha vitendea kazi hasa teknolojia.Bila shaka siku za usoni tutafikia level ya juu zaidi kuliko hapa.
 
Mungu aongoze katika hili
 
Mko vizuri nami nitakuja nahitaji mmesema mpo Karume complex nitahitaji namba zenu tutawasiliana hapo umenikosha watoto wanne wa kiume hapo umenipatia ahsante sana mkuu Mungu awatangulie ktk bihashara nzuri
 
0657 895 590. Karibu sana Chief.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…