Tunatengeneza na kuuza viatu vya ngozi kwa bei nafuu


Travolta Brown
Materials : Leather
Wholesale Price: Tshs. 27,000/=
Retail Price: Tshs. 30,000/=
Contact: 0657 89 55 90.
Free Delivery in Dar.
 

Travolta Brown
Materials : Leather
Wholesale Price: Tshs. 27,000/=
Retail Price: Tshs. 30,000/=
Contact: 0657 89 55 90.
Free Delivery in Dar.
 
Mkuu umejitahidi sana, hongera zako. Nakushauri uwe wacheki samples za nje (Europe, US) kupitia internet kisha waziigilizia. Kiuhalisia ubora wa matarials utatofautiana lakini mvuto wa product zako machoni utakuwa ule ule (wa sample) kwa zaidi ya 85%.

Pia jitahidi uwe watoa majina (reference) za product zako kwa namna nyepesi ya kuweza wasiliana na wateja. Mfano HK01, HK02....HK99; KQ01, KQ02... KQ99, ; nakuendelea.
 
Hongera mkuu naona mnaanza kuimprove hizi ndo bidhaa cha kwanza from left kinaendna na trend ya sasa soon ntakutafuta kama utazidi kutoa mizigi kama hiyo maana wengi tunapenda kiatu cha multipurpose it means hata jeans unavalia na hauonekani kituko
Karibu sana Kiongozi..
 
Tumeupokea ushauri na tunaufanyia kazi Kiongozi. Shukrani sana..
 

Tshs 27,000. Free Delivery in Dar.
 

Tshs. 30,000/=. Free delivery in Dar.
 

Viatu vya watoto wa shule wa Kike 25,000/=.
 
Travolta Black and Brown, Tsh 30,000. Free delivery in Dar.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…