Nipo Mbarali halafu nahitaji pair moja tuTupo Kyela Mkuu ila hata Mbeya mjini tunaweza kukuletea...
Kwa Arusha tunakufanyia 33,000 Boss, maana tunatumia Mabus mawili.....Ukitoa order leo, kitakufikia si zaidi ya ijumaa wiki hii......Nipo Ar nahitaji pair moja ya hii kiatu....No.41 mpk kunifikia itakuwa sh.ngap na nikiweka order leo nitakipata lini??
View attachment 620459