Huu ni ushauri bora sana chief, hata mie nilikuwa nshaanza kuwazia jambo hili.Mkuu pia kama hutojali,tengeze picha yenye design zote za viatu uvipe na item/product number mfn. [HASHTAG]#001[/HASHTAG] travota, [HASHTAG]#002[/HASHTAG] moka ili iwe rahisi sisi ku refer item(kiatu) tunakwambia namba na rangi......
Ngoja nijukuwe namba mkuu ntakutafuta Nko dodoma, biadhaa zenu kwa picha tu zinaonekana ni super.Huu ni ushauri bora sana chief, hata mie nilikuwa nshaanza kuwazia jambo hili.
Unajua Mkuu, mwanzo unaanza kwa ideas chache, ila kadri unavyosonga mbele unazidi kuvumbua/kumbuliwa ideas mpya na muhimu sana.
Ahsante sana kwa ushauri huu Chief. Barikiwa.!
Bei ya jumla tunafanya angalau kuanzia pair 10-15, lakini kwakuwa sasa ndo tunaanza ku-penetrate kwenye soko na kujenga trust na satisfaction kwa wateja wetu, si mbaya hata kwa hizo pairs 6 tutakufanyia kwa bei ya jumla.Samahani mkuu,
Mfano nahitaji tavota 6
Hii utaniuzia kwa bei ya jumla ?
Pia vipi naweza pata za rangi na muundo tufauti ?
Kwa hizo pea sita 6 ?
hamna viatu vya shule hasa kwa watoto wa kike kama mnavyo duka au show room yenu iko wapi incase mtu anataka kufanya window shopper
aya asanteView attachment 622326kuhusu duka kwa Dar tutafungua Office mwezi huu mwishoni/ mwezi ujao mwanzoni.
Kwasasa kuna Agent tu ambaye tunamtumia mzigo na kuwapelekea wateja baada ya kupata orders.
Unapatikana wapi? Na hayo mayai yanaweza kutotoleshwa (yaani yametunzwa kwa viwango vya utotoleshaji?)Njoo nikuuzie ya mayai ya kanga