Flat nzur kwanguIwe na kisigno au flat...?
Nimetuma kwenye address hiyo hiyo.Chief, hujakosea kweli? Nimecheki sijapokea Email. businessnow271@gmail.com
Asante mkuuNgoja nijaribu kuwaambia vijana, ntakupa mrejesho.
Mkuuu nahitaji hiki no 43 tafazaliAina hii namba 37 au 38 ni Tsh ngapi kufika Dar es Salaam? Nahitaji pair moja
Lini naweza kupata..?Nimeiweka kwenye List Mkuu.
ngoja nipitie apo juu nikwambie nlicho kipendaNdiyo Chief inapatikana. Unahitaji aina gani?