Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katoa mifano vitu kuangukiwa tayari! ukiwekwa picha inakuwa high alert!! Watanzania wanapenda kujuzwa Kwa mifanoHaina haja ya picha ni logic ya kawaida kabisa nini kinatokea pindi upepo mkali unapotokea.
Mimi ni mpandaji mkubwa wa miti na laiti ningejua uko wapi ningekuchukua uone jinsi nilivyopanda miti mingi na maua nyumbani pangu wakati wewe haujawahi kupanda hata mti mmoja, ukisema niweke picha naweza kuweka japo inaweza kuwa si ya nyumbani pangu, pia ujue ukiukata mti mmoja eti kwa sababu ya upepo na mvua hautaurejesha kwa zaidi ya miaka minne, pia miti huzuia upepo kuidhuru nyumba yako.Unajitahidi kuficha ukweli lakini hujui nini unaongea, tafuta majibu ya haya maswali .je ni kweli serikali hairuhusu hairuhusu matumizi ya chainsaw?, je nini kilitokea baada ya hizo nyumba,umeme na gar kuangukiwa na miti?
Tatizo umelianzisha mwenyewe kwa kujipa sifa ya ujuvi wa kukata miti kawa kutumia chainsaw, mimi ninahasira na wenye chainsaw kwani wamekata miembe asilia na miarobaini iliyokuwa karibu na nyumba kwa kuwadanganya kwa sababu kama zako.nimezungumza kuhusu miti iliyokaribu na nyumba na umeme,sijui kwanini unazunguka kukwepa uhalisia, haihitaji shahada ya uhandisi kujua madhara ya mti kuangukia nyumba au umeme.pia nimetoa mfano wa miti ambayo IPO katika hatari zaidi aina ya gravelia,sijasema kuhusu mbao sasa sijui umeyatoa wapi hayo!
Hauwezi kununua chainsaw kama si mkataji miti kwa wanaochana mbao, hauwezi kunidanganya na hauwezi kununua jeki kama hauna gari au si fundi gereji.Katika hoja yangu ya mwanzo umeona kipengele cha kuchana mbao za miembe au miarobaini?, Je kila mwenye chainsaw anaitumia hivyo?, unataka kuendelea kupoteza muda na nguvu nyingi kutumia shoka na mapanga?,huu ni ulimwengu wa sayansi ya teknolojia huwezi kukwepa matumizi ya mashine!!
Umepata kibari kutoka kwa halmashauri kukata mitiKama una miti mikubwa, mirefu kuliko paa la nyumba yako ni vema ukaiondoa ili kuepuka maafa ya kuangukiwa nayo.
Natoa huduma hiyo kwa kutumia chainsaw Napatikana Dar es Salaam
0758700852
Kuna miti iliyo sehemu hatarishi kama vile karibu na nyumba na umeme ndo hiyo nashauri kuitoa ili kuepusha maafa ya kuharibu miundombinu hiyo hususani kipindi hiki cha mvua na upepo mkali!! Kwa wakazi wa dar es salaam hususani maeneo ya mbezi ni mashahidi katika hilo.Dunia inahamasisha upandaji miti wewe unahamisisha tuiikate?!
Kwanini hiyo chain-saw yako usiiende nayo kwa wakulima wa miti uwapatie hiyo huduma!.
Ni maelewano,ni pm tuyajengeUkishakata na visiki unang'oa mkuu?
Tuko pamoja wenye majumba changamkieni f
Tuko pamoja wenye majumba changamkieni fursa
KAZI ni kipimo cha utu
Hakika mkuu,karibu kwa hudumaKAZI ni kipimo cha utu