Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Tunatoa huduma za kutengeneza Mihuri [Dodoma]

Folota Rubber Stamp

Senior Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
149
Reaction score
100
onlinebanner.png
FOLOTA RUBBER STAMP
Tunatoa huduma zinazohusiana na mihuri aina zote.

HUDUMA ZETU

1. Utengenezaji wa Mihuri
2. Uuzaji wa vifaa vya mihuri aina zote
3. Matengenezo/Marekebisho ya mihuri iliyotengenezwa.
4. Ushauri wa bure kwa wateja wetu.

AINA ZA MIHURI

1. Mihuri yenye mikono ya mbao (Traditional wooden Stamp)
2. Mihuri yenye majumba ya wino (Self inked Stamp)
3. Mihuri ya Moto (Embossing Seal/ Company seal/Corporate seal)

GHARAMA/BEI
Kulingana na design atakayohitaji mteja ndio tunaweza kukokotoa bei, usisite kuwasiliana na sisi kwa maelekezo zaidi.

MUHIMU
Zingatia, tutatoa ushirikiano kwa vyombo na mamlaka husika kwa wale wenye lengo la kufanya uhalifu au kutaka kutumia kinyume na taratibu muhuri wowote ule.
Ndugu mteja kama una matumizi yasiyo halali jua ya kwamba mamlaka zitataarifiwa.

MAWASILIANO
Tunapatikana Dodoma Mjini
Mtaa wa Barabara ya Tisa
Wasiliana nasi kupitia:
PM
0712132888 calls/sms
0759143420 calls/sms/whatsapp
stampfolota@gmail.com
Telegram channel

IMG_20211124_121919.jpg

bomu namba 3.png
 
Hama huu Bei gani?

Ukihitaji ya self ink bei ni kuanzia 40000 na kuendelea, itategemea na michoro kama ipo.

Ukihitaji handles za mbao bei ni kuanzia 25000/= mpaka 35000/= kulingana na michoro iliyopo [ukichukua huu itabidi ununue na stamp pad kwa ajili ya wino]
il_340x270.1736144988_c4g7.jpg
0006365_faber_castell_stamp_pad_violet_small.jpeg

Karibu tukuhudumie.
 
Sio utaratibu wa kuletewa, ni ili mnitengenezee muhuri natakiwa kuwa na vielelezo gani? Kwa mfano ukiambiwa process za kupata TIN toka TRA ni zipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu nimekuelewa naweka samples mbambali hapo juu zipo kwenye PDF utaangalia muundo unaoupenda kisha utaandika maandishi yako pembeni kwenye karatasi kulingana na shape unayotaka kila sample ina namba yake kwa hiyo utanitumia kwa whatsapp au email hayo maandishi kwenye karatasi na aina ya shape kwenye hizo sample nitakazo weka hapo juu,
mfano kwenye hii picha hapa chini unaweza kuchagua i2 basi nitajua umependa style hiyo ya maandashi na format ntatengeneza kama huo ila kwa maandishi yako, pia kabla sijatengeneza naweza kukutumia uone utakavokua ndio niendelee ukiridhika.

sample.PNG

View attachment 1010145
Karibu tukuhudumie.
Hujamuelewa vizuri muuliza swali, ingawa pia swali lake ni la "kijuaji" zaidi..umeambiwa basi linakwenda Iringa kutoka Dodoma kila siku saa 5 asubuhi, nauli ni Tshs. 12,000/=, wewe unaanza kuuliza natakiwa kuja na nini hapo stendi ili nistahili kupanda basi hilo? Huu ni ujuaji usio na maana, wewe nenda na Tshs. 12,000/= na begi lako usafiri...
 
Nimerudia kusoma swali lake, amejaribu kuweka mtego, sijajua vielelezo gani anakusudia, inawezekana yupo kwenye hii field pia labda anajaribu challenge tu.
 
Back
Top Bottom