Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,531
- 5,787
Kihonda Pale Puma ipo KampuniNiko wilaya ya Gairo mkuu , kwa experience yako maji yanaweza kuwa urefu gani kutokea juu , ili nijikakamue niandae kibunda kwa ajili ya uchimbaji !!
Me nachimba kwa ajili ya kilimo !!!
Jamaa Wanapima Na Poolfinder Baadaye Wanajua Eneo Lenye MajiIle kwamba wewe hufanyi usi conclude kwa wengine,ndio maana leo kuna vifaa vya kutambua madini mbalimbali kwenye ardhi kwanini kwenye maji ishindikane.
Haya mwambie uyo mwagito asome hapoIle kwamba wewe hufanyi usi conclude kwa wengine,ndio maana leo kuna vifaa vya kutambua madini mbalimbali kwenye ardhi kwanini kwenye maji ishindikane.
Shukrani sana mkuu, nipee contact zao , nitawatembelea pia !!Kihonda Pale Puma ipo Kampuni
Mimi Niliitumia Kuchimba Kisima Kingolwira Hapo Na Maji Yakatoka
Pakavu Mno Pana Mwamba Mkali
Ukitaka Number Nitakupa
Nakushauri Watembelee Wewe Mwenyewe Utapata Matokeo
Bei Yake Ilikuwa Ya Chama Na Serikali Ama Ile Ya Chama Cha Walimu
0769221102 ASR DRILLINGShukrani sana mkuu, nipee contact zao , nitawatembelea pia !!
Ukihitaji survey ya viwango nichekiNiko wilaya ya Gairo mkuu , kwa experience yako maji yanaweza kuwa urefu gani kutokea juu , ili nijikakamue niandae kibunda kwa ajili ya uchimbaji !!
Me nachimba kwa ajili ya kilimo !!!
Akucheki ni vizuri lakini usidanganye watu kwa tamaa ya pesa, maji utafanya utafiti na kweli utakuwa upo sahihi. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba kiwango na ubora wa maji hujulikana baada ya kuchimba..Ukihitaji survey ya viwango nicheki
Mkuu uko sahihi me pia niko ground water niko kwenye mabonde iwe terrameter ama PQWT ama detector yoyote haijui ubora wa maji unless umesha drill yametoka ndo upeleke sampuluAkucheki ni vizuri lakini usidanganye watu kwa tamaa ya pesa, maji utafanya utafiti na kweli utakuwa upo sahihi. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba kiwango na ubora wa maji hujulikana baada ya kuchimba..
Boss, maeneno ilipo Simba hotel ni maeneo yenye bahati ya maji baridi, yaan area A,C, D ilazo, kisasa na mlimwa C yana base ya maji yasiyo na chumvi, sio kwamba ulipata maji baridi kwa sababu wewe ndio uliyatafuta.Usimalize maneno we mzee...muulize simba hotel hapo dodoma mabalas niliyofanya kwenye kumchimbia kisima
Asante mdau watu wanatamani hela za watu kwa kuwadanganya. Halafu wanakomaa kabisa.Mkuu uko sahihi me pia niko ground water niko kwenye mabonde iwe terrameter ama PQWT ama detector yoyote haijui ubora wa maji unless umesha drill yametoka ndo upeleke sampulu
Kuna kisima tulichimba chuo cha udaktari cotc kipo lindi yaani kutoka Baharini Beach ni kama mita 200 tu cha ajabu yanmetoka maji hayana chumvi hata kidogo wanayatumia mpaka Leo wanakunywa wanafunzi ..depth ilikuwa ya kawaida 120 m.Boss, maeneno ilipo Simba hotel ni maeneo yenye bahati ya maji baridi, yaan area A,C, D ilazo, kisasa na mlimwa C yana base ya maji yasiyo na chumvi, sio kwamba ulipata maji baridi kwa sababu wewe ndio uliyatafuta.
Sema ukweli hata kama unauma. Kupata maji baridi au sio baridi ni mapenzi ya Mungu sio kwa sababu umepima wewe au kutafuta.
Ujuzi wako uliishia kuipata point yenye wastan mzur WA upatikanaji WA maji baaasi, mengine Mungu akafanya kazi yake
Je ubora wa maji ulioneshwa na kipimo au lah?Kuna kisima tulichimba chuo cha udaktari cotc kipo lindi yaani kutoka Baharini Beach ni kama mita 200 tu cha ajabu yanmetoka maji hayana chumvi hata kidogo wanayatumia mpaka Leo wanakunywa wanafunzi ..depth ilikuwa ya kawaida 120 m.
Mwaka Jana kigamboni nilichimba kisima mitaa ya mbuyuni pale nikapata maji baridi, mpka mteja akashangaa. Lakin sio kwa sababu kipimo kilisema ni maji baridi.....ikitokea tuKuna kisima tulichimba chuo cha udaktari cotc kipo lindi yaani kutoka Baharini Beach ni kama mita 200 tu cha ajabu yanmetoka maji hayana chumvi hata kidogo wanayatumia mpaka Leo wanakunywa wanafunzi ..depth ilikuwa ya kawaida 120 m.
Water quality mpaka analysis ya maabara mzee..machine ni kwa ajili ya kujua resistivity ya mwamba husika na bado unaweza kujichanganya ukatoa dry je chumvi si ndo huwezi kujua lolote...hazina isiyoonekana ni mtihani kaka assume point inakupa dry mita 150 ..unamueleza nini client wako???[emoji16]Je ubora wa maji ulioneshwa na kipimo au lah?
Najua, Ila kuna wadanganyifu wanasema Sisi hatujui Ila wao ndio wanajua na Wana kipimo.Water quality mpaka analysis ya maabara mzee..machine ni kwa ajili ya kujua resistivity ya mwamba husika na bado unaweza kujichanganya ukatoa dry je chumvi si ndo huwezi kujua lolote...hazina isiyoonekana ni mtihani kaka assume point inakupa dry mita 150 ..unamueleza nini client wako???[emoji16]
Ni kama bahati tu kuna siku tumechimba maeneo ya rondo plateu kama unavojua elevation yake ni above 500 m sasa kimechimba hiko kwenye 140 m yamefumuka maji hayo yaani kukawa bahari kijijini wanakijiji wakatupa mpaka mademu bure na kuku...ni kama zali tu hizi kaziMwaka Jana kigamboni nilichimba kisima mitaa ya mbuyuni pale nikapata maji baridi, mpka mteja akashangaa. Lakin sio kwa sababu kipimo kilisema ni maji baridi.....ikitokea tu