Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Tunatoa huduma za uchimbaji wa visima

Mkuu inawezekana maji ya chumvi kuwa treated na ya kafaa kwa matumizi ya binadamu? Na kwa experience yako kwa Dar sehemu kama mbezi beach….possibility ya maji baridi ikoje?
 
Mkuu inawezekana maji ya chumvi kuwa treated na ya kafaa kwa matumizi ya binadamu? Na kwa experience yako kwa Dar sehemu kama mbezi beach….possibility ya maji baridi ikoje?
Sawa naomba nipigie ili tuongee vizuri maana sms haitoeleza vizur
 
Kwanini uchimbe maji na ukose? Sisi ni suluhisho. Karibu tukufanyie kaz ya uhakika
 
Anza mwezi mpya kwa kumiliki kisima cha maji.
 
Mchana mwema huku tukiendelea kukukaribisha ili tukuoatie huduma za kisima kwa ufanisi wa hali ya juu
 
Kumekucha salama tumshukuru Mungu, sasa karibu tupambane
 
Tunashukur Mungu tumeamka salama. Mapambano yanaendelea
 
Kumekucha , karibu tukuchimbie kisima chenye maji ya uhakika
 
Kumekucha salama, tunaanza siku kwa kukuchimbia kisima chenye maji ya uhakika.. karibu
 
Back
Top Bottom